OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Ile clearance ya origi nilibaki nacheka tuHe played very well
Double pivot ya Gini na hendo imeleta very strong protection Kwa timu... Especially when hendo drops as a third central defender
Na kumuachia firmino kudrop kama.cebtral mido with milner ilichanganya Sana wale jamaa
Klopp sasa kawa mhuni... Hujui Nani anacheza namba ipi
Hata origi Jana kapiga clearance of the day
Hahahaha proper definition of team work, flexibility and instinct za hali ya juu...
Sasa mkuu kikosi Cha kwanza wakishindwe kikosi Cha pili wakishindwe mpaka wachezaji majeruhi wanafika 7 bado washindwe kutufunga ..kwanini tusiwakomeshe kabisa tuwape under. 20 wakishindwa na hao inabidi tuwakusanye wakina carragher na Gerrard wazee wakipige nao ili tuweke history iliyotukukaHa ha haaa, hii ligi kwa vile iko upande wetu, wacha tuwakomeshe kabisa! Labda Klopp awachanganye kwenye vile vikombe vidogo vidogo! Yaani natamani Manure, Chealsick, Manshit tuwakomeshe kabisa!

(issa joke)mzee sio swala la kufurahi kwa sasa hali si nzuri, kama ukicheki game ya jana benchi liko tupu kabisaa...hizi injury zitatuletea shidaa...Hilo timu linanipa raha mimi,, bwuuuuuuuuuu!! Nimemsikia Mourinho anajiuliza tarehe 11 nina mechi na Liverpool sijui naanzaje mimi?
Hahah au wanaotaka kuweka record ya kugombania tuzo wacheze dk 70 wapumzishwe...iwe kama pre season matches/atafute fitness ya UCL matches tu..Hahaha hilo haliwezekani mkuu umesahau they are personal accolades to be won by this players, mfungaji bora nk, na pia after VVD pushed Ronaldo aside to be runner up wa ballon wengine wana step up and challenge...
So ubingwa ukiwa wrapped that early itakua kazi kwa vijana to express hapo sasa pengine utaona genggenpressingand go for the records...
YNWA
ujue mkuu wengine toka tupende chama hatujawahi kuona tunachukua EPL ujue- tulichelewa kuzaliwa ..kwanini tusitambe sasa.Itakuwa balaa ..na tuplus UCL Cup,( na jinsi tunavyojua kucheza final siku hizi hizo Super Cup na World Club Cup hazitatusumbua) pia ..inabidi Malkia ampe uraia JK ampe na u- Sir kabisa.We are looking ahead to break 100 points record, 49 unbeaten record, and finish a league with 0 loss.
Itakuwa balaa ..na tuplus UCL Cup,( na jinsi tunavyojua kucheza final siku hizi hizo Super Cup na World Club Cup hazitatusumbua) pia ..inabidi Malkia ampe uraia JK ampe na u- Sir kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hizo za liver ni attempted passes, man city vs swansea alia-attempt 1015......Si kweli
Kabla ya 969 za Liverpool alikuwa anaongoza City kwa 949
Liverpool kavunja record jana
Lakini mkuu siyo sisi tu, hata wao wanashida ya majeruhi! Tot hawana huduma ya Kane pia. Lakini kwetu pia kumbuka tuna kifaa kingine kimeingia juzi -Minamino. Fabinho anarudi hivi karibuni. Wacha tushangilie tu, furahia ulichokishika mkononi kuliko kinachokuja!mzee sio swala la kufurahi kwa sasa hali si nzuri, kama ukicheki game ya jana benchi liko tupu kabisaa...hizi injury zitatuletea shidaa...
nachukia sana mchezaji anacheza game hazizidi 4 hlf anaumia
chambeeline
keita
shakir
matip
lovren
fabinho
clyne
wote hao majeruhi
sub zilizobaki ni lallana na origi tuuu na jumapili tunagame na everton FA tukitoka hapo tuna spurs na man utd...kama injury zitaongezeka tunaweza anza ku drop points..
msimu ukiisha lallana, clyne, shakir, lovren inabidi watuachee
Sent using Jamii Forums mobile app
Morning guys!
Napenda kushare nanyi baadhi ya Stats kuhusu nani anashikilia record ya kupiga Pasi nyingi incomplete na zile ampazo ni Pasi complete.
Since Yesterday nimeona Post nyingi humu zikisema Liverpool ameweka rekodi ya Kupiga Pasi nyingi!
This is not true men! Ni Man City ndiye anayeshikilia Rekodi zote kuhusu Pasi.
Rekodi pekee iliyoweka Jana ni kuwa Liverpool amejiwekea yeye mwenyewe kwa kupiga Pasi nyingi kwa Mara ya kwanza tokea Timu hii ianzishwe.
Nimeweka Screenshots hapa ambazo Source yake ni Mtandao wa Barclay's Premiere League.
1) Hapa Man City amepiga idadi ya Pasi 1015 ambazo Complete zilikuwa 942.
View attachment 1310794
2) Hapa Man City against Everton amepiga Passes 970 ambapo Complete Passes ni 905.
View attachment 1310796
3) Hapa Man City vs Chelsea, Mancity amepiga Passes 976, Ambapo Complete Passes ni 902.
View attachment 1310805
4) Hapa Liverpool vs SHU, Liverpool amepiga Passes 970, ambapo Passes Complete zilikuwa 874 tu.
View attachment 1310792
Kwahiyo Rekodi ya kupiga Pasi nyingi bado inashikiliwa na Man City Mara 3 zaidi na wala zi Liverpool.
Timu ni Nzuri kwa sasa lakini tujitahidi kutumia takwimu sahihi na si kuchukua kila Kitu kutoka Twitter.
Nadhani huko Twitter munglifuatilia Stats za @OptaJoe kwani ndiye yupo sahihi zaidi kwa Stats ukilinganisha na Source nyengine zinazokopi na kupesti.
Mjerumani ana ego zake, hawezi kupokea uraia wa UK.
Mjerumani ana ego zake, hawezi kupokea uraia wa UK.