Klopp alishaliona mapema shinda ya hawa majeruhi wetu na ndio huu usajili wa Takumi hakuchelewesha na kumrudisha Philips Kwa miezi hii miwili mpaka majeruhi warejee...
Ivi leo kuna swali lolote kuhusu VAR? Coz kuna Ndorobo zinaletwa na VAR tu Hapa.
.sasa hivi sijui watajificha wapi hao vinabo?
Just say Hiivi niandike nini humu muda huu?
Wamepoteana tangu Jana baada ya kuona lile game lilivyopigwa hiyo Jana! Kila timu inajipima na kuwaza tungekuwa sisi tungehimili ule mchakamchaka?Hawana cha kusema sasa maana walisema heti mnamechi ngumu hizo mechi ngumu zao sisi ni mwendo wa clean sheet tu,wanakimbilia kwenye VAR sio tena mechi ngumu..sasa hivi sijui watajificha wapi hao vinabo?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Midi January majeruhi wote wanarudi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
huyu tutampa nafasi na msimu ujao , hali ikiendelea hivyo itabid atuacheKeita will always be my second team player hapa Anfield ... Jamaa hajawahi kupona kabisa
Kiongozi hujakosea tunaeleweshanaaI am very happy with our team/squad
Keita is not seriously injured, he felt something
Mwaka huu klopp has done wonders ya kumanage players
A couple of games Hendo was subbed because he felt a knock
Just FYI, matip, shaqiri, fabinho na maybe lovren can play if asked to do so
Chambo injury was bad...
Kuchukia MTU anayeumia wakati hajapanga kuumia ni sawa na kumchukia Askari aliyeuwawa vitani
They put their bodies on the line
Lallana, shaq and origi have done wonders when called to action. Lovren the same
Huwezi ukawa na squad ya starters Tu.... Hawatakaa wakaelewa a and the team spirit will die
We are good
Labda nikujibu kihuni... NACHUKIA MIJITU INAYOCHUKIA PLAYERS WETU WANAOUMIA IN THR LINE OF DUTY
STOP BRINGING NEGATIVITY EHILE WR ROLL
Yeah niliona juzi kutoka VFB StuttgartKlopp alishaliona mapema shinda ya hawa majeruhi wetu na ndio huu usajili wa Takumi hakuchelewesha na kumrudisha Philips Kwa miezi hii miwili mpaka majeruhi warejee...
Tatizo hawa watoto wanawajazaga upepo, kila mmoja anataka awe ndio shujaa wa kumfunga liver...Wamepoteana tangu Jana baada ya kuona lile game lilivyopigwa hiyo Jana! Kila timu inajipima na kuwaza tungekuwa sisi tungehimili ule mchakamchaka?
Nipo apa naangalia marudio ya mechi ya jana kupitia Liverpool tv naona Sheffield wanafanya makosa yaleyale wasipokua makini watafungwa tena
Sent using Jamii Forums mobile app



tumbaFF SanaWatangazie ubingwa rasmi,timu ya kuifunga Liverpool hapo epl labda itoke sayari ya mars.
Mkuu sasa hivi nikushangilia tu ushindi na kuwasifia tu wachezaji wetu hakuna kingine.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Challenge tulizobaki Nazo;
1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away
Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten
Spurs na city sasa hivi ni wepesi kama karatasai hapo hesabu points 6 tu tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
1 na 2 tukivuka hadi mwezi wa pili hakuna wakuwaza kutusikaChallenge tulizobaki Nazo;
1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away
Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten
Yap tumemwazima Kwa muda wakati tunasubiri majembe wapone na kurejea uwanjani..
Hapo hakuna gemu rahisi lol... Inahitajika mbinu zaidi ya kuvuka kote salama...Challenge tulizobaki Nazo;
1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away
Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten