Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Challenge tulizobaki Nazo;

1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away

Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten

Mkuu hapo wasiwasi wangu ni wachezaji kuwafit wote,wakirudi wote hiyo mid January.hapo nauwakika tunAshinda hizo game kama kupoteza basi ni droo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
This Week 🔥🔥🔥🔥

IMG_20200103_183721.jpg
 
Challenge tulizobaki Nazo;

1) Spurs Away
2) Wolves Away
3) Everton Away
4) Mancity Away

Tukifanikiwa kuzipita hizo peacefully basi tutamaliza League unbeaten
game na city itakuwa ya 31 kama sikosei , kama moto utakuwa ni win tuu then we will play man city tayar ni mabingwa au ndio game tutakayo chukulia ubingwa....naimanii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukihesabu toka tulipopoteza game tar 3 January 2019, hiyo inakuwa ni game ya 49.

It will be of significance kama tutakuwa hatujapoteza mechi, otherwise itakuwa kama mechi zingine.
 
Ni kweli si za kubeza basi kwa performance zao kwa sasa hawana tofauti na akina Watford, city na Spurs sasa hivi wamebaki na ushindi wa kubahatisha tu lkn si kuwa na uhakika wa kushinda
Oh! Its not easy as you think bro..

Usiikadirie Timu uzima wake au wepesi wake kwa sababu tu anafungwa na wengine.

Hapo nimeziweka hizo mechi amini si za kubeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ubingwa wao lakini tutawachakaza tu, tena mm niliwatamani tukutane hata January hii, tuwachakaze ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unakumbuka tulipokwenda kwa Manure na matokeo yetu mfukoni kama hivyo then tukataka kuaibika mpaka tukaokolewa na Lallana?

Sasa na kwa City kwasababu tulimfunga game ya 1, next game njoo uende na matokeo yako mkononi uone!
 
Kusema kweli siku liverpool akichukua epl ,hakuna atakaye wapa heshima kuku nyie, coz dunia nzima inaona kuwa ni ubigwa wa kupangwa,

Coz ni aibu kubwa sana na watakuwa wameidhalilisha league yetu pendwa epl, kubebwa bebwa na var mpaka anakuwa bingwa wakat wanaume wa kazi wenye ubora wao wapo wananyimwa nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Manjesta wapo inakuwaje kuwaje, hizi ni dhuruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ubingwa inabid tuuchukue with 8 games left to play,we have to continue with our winning ways while man city and leicester drop more points..

then we switch our focus to champions league, i hope it will be so

Sent using Jamii Forums mobile app
labda liverpool nyingine, lakini hii ninayoijua mimi lazima tuje peana pressure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli si za kubeza basi kwa performance zao kwa sasa hawana tofauti na akina Watford, city na Spurs sasa hivi wamebaki na ushindi wa kubahatisha tu lkn si kuwa na uhakika wa kushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ama kweli huu ushindi unaleta tha good feeling and fearless inakua vocabulary haha...

Liverpool vs any top four contenders sio gemu rahisi as some of us are saying...

Any game vs Chelsea, Manchester City, Manchester United, Everton, Tottenham spurs hua ni full mchakamchaka haijalishi wao wana hali gani na sasa the more reason maana wao wote wakiulizwa watasema bora bingwa awe Manchester City kuliko majogoo Hahaha hatupendwi cz they well know once we get one we won't stop at 19th...

Kwa sasa it's Liverpool vs the 19 other teams they all wonna make history kama walivyo fanya Crystal Palace 2014 so guys let's have some reality check and win one game at a time mpaka tunatangazwa ubingwa...

Hayo ma super Confidence yawepo but tuwe realistic this is EPL its not over until its over...

YNWA
 
Kaka manure tuathiriwa na referee kwa unazi wake kwa manure pia chumba cha VAR alikaa Fergusson, sasa ulitegemea nn, lakini tambua kwamba manure ni timu dhaifu haiwezi kutoa sare kwa liverpool kwa kutumia uwezo wala mbinu za uwanjani
Mkuu unakumbuka tulipokwenda kwa Manure na matokeo yetu mfukoni kama hivyo then tukataka kuaibika mpaka tukaokolewa na Lallana?

Sasa na kwa City kwasababu tulimfunga game ya 1, next game njoo uende na matokeo yako mkononi uone!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom