Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbona sioni comments za Minamino humu? Wastage of money !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah? Bitter hater, ndio kwanza debut yake leo alafu pia at 7million pounds he is a bargain. Trust me kama ni nyie Arsenal mngeingia pale lazima mngepigwa hata 60million pounds.

Next two seasons tunamuuza huyu kwa Madrid kwa 145+ millions. Watch us do that.
 
sina wasi wasi, tunatoboa vizuri tu. ox nilijua kaumia hatocheza tena huyu karudi. plus lallana, minamino hakuna sababu ya kuhofu.
curtis jones naye anastahili nafasi kabla ya kuitwa grugic
Kama Mkataba unaruhusu basi Grujic aitwe haraka hii January kabla hatujawa Laughing Stock.

√ Keita injury
√ Fabinho injury
√ Milner injury
√ OX gari la Mkaa

We've only Two Midfielders ambao ni Hendo na Gini kwasasa ndiyo wapo fiti.

Tunamuhitaji Grujic kuliko wakati wowote ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
just to remind you, tumecheza bila vvd vs everton first eleven.



Sent using Jamii Forums mobile app

Mechi ya kwenye ligi tutawafunga vizuri sana ,leo kikosi cha kawaida wao wameweka full lakini tuwewazidi,sasa kikiwa full hawatutawafunga nyingi sana,mechi yetu na wao kwenye ligi sio mechi ngumu tutashinda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IMG_7306.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom