MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,573
- 11,686
Finally City naona wameadmit kuwa mbinu zao zilizowapa ubingwa last season haziwezi tena, now they have switched to 5 men backline
Hahaha pole mi nakumbuka ilikuwa usiku nikawa najiongelesha mwenyewe alafu sielewi nachoongea.Mwanangu umefanya analysis nzuri sana! Nakumbuka ile mechi na vijana wa Tonny Pulsi nilidondosha machozi! Sijui kamepotelea wapi kale kazee!
Lakini Mkuu mbona bado mapema sanaMuriohno heading for the sack...
They didn't bring him for this...
Mkuu ule mshahara sio Wa matokeo yale...
Na akija kwetu lazima tumkalishe bila ubishi!Siku njema kabisa
Domodomo FC kakalishwa Jana
Gari la mkaa limepaki
When thier defense chipping goals like that the only option they have is try to come up with any formula that will bring them glory...Finally City naona wameadmit kuwa mbinu zao zilizowapa ubingwa last season haziwezi tena, now they have switched to 5 men backline
Hahahaha VAR umeachana nayo tayari..
Ni sawa lakini kwa wachezaji walewale aliowakuta!... tumuone msimu ukiisha..bado nafasi anayoMkuu ule mshahara sio Wa matokeo yale...
![]()
Kabisa ndugu. Binafsi ningependa aendelee kuwepo...Ni sawa lakini kwa wachezaji walewale aliowakuta!... tumuone msimu ukiisha..bado nafasi anayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii wataimba nyimbo zote mpaka ziishe!Hahahaha VAR umeachana nayo tayari..
Heri ya mwaka mpya mkuu...
YNWA
hao hao wachezaji ndio walioifikisha spurs fainali ya uclNi sawa lakini kwa wachezaji walewale aliowakuta!... tumuone msimu ukiisha..bado nafasi anayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama mkuu mambo vip ...Hahahaha VAR umeachana nayo tayari..
Heri ya mwaka mpya mkuu...
YNWA


Salama mkuu mambo vip ...
Unaonaje suala la Keita kupigwa benchi wakati ni bonge la kiungo??
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha... Wapigwe tu hakuna namna..Safari hii wataimba nyimbo zote mpaka ziishe!
Huo ubest unaendelea tu hata akipata matokeo mabaya?Kabisa ndugu. Binafsi ningependa aendelee kuwepo...
Pamoja kapoteza identity yake uwanjani mwishoni mwa kazi yake Manu na hapa Spurs but he is still one of the best managers..
YNWA