Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool leo atang'atwa Mbwa mwitu hajawahi kuacha timu kubwa salama

NB:ushindi pekee watakaoupata Liverpool leo ni kushinda na njaa.
Kama sikosei mbwa mwitu wako amecheza mechi kibao Anfield bila kuchomoza na ushindi hata mechi moja, sasa tafadhali kua na maneno ya akiba..

Tangu mwaka 1984 ametufunga si zaidi ya mara 3 hivi na ushindi wa mwisho aliupata 2010 kipindi tupo na Kocha Roy..

Chini ya Klopp hajachomoza na ushindi wowote...

Leo tunao hawa maana sasa waliotushindwa wengi wamehamishia karata zao kwake bila kusahau huyo Citizen alimfunga 2 na wakiwa pungufu baada ya Eder kupewa kadi...

Waletee Waletee...
 
Mine will look like this:

ORIGI. MANE. SHAQIR

GINI. HENDERSON. KEITA

ANDY. VVD. GOMEZ. TRENT

BECKER
Subs:
Adrian
Milner
Salah
Firmino
Lallana
Jones
Hahaha no way to bench Salah lol, Wolves play tantalizing football we need Salah upfront to nab their going forward and if they do atawaumiza...

Salah effects on this one will be on spot..

He has a score to settle and Vardy not scoring meaning more believe that he will catch him haha na Mane pia lol.. Whats criss-cross upfront in search of goals..
 
Hi
I have said it before on this forum, and am saying it again now... Klopp should consider hooking in this boy next summer. and I think he will if he isn't already.
the kid has got all the necessary attributes that Klopp needs.

an excellent back up to Salah, and could actually cement his place that side permanently with Salah moved centrally whilst Bobby slightly pushed back into that 8 or 10 slot.

just imagine Traore on the right, Mane on the left, Salah wreaking havoc uptop and Bobby pulling the strings just behind him... I tell you hell will break loose!!

View attachment 1306570
Haya mambo ya kuhamisha wachezaji namba ndo kuna ua viwango tuwatoe kasolo wachezaji kumbe wanapangwa nje ya nafasi zao huyu Salah amefanya vizuribtu akiwa pembeni sasa kwa nini anawekwa kati?
Tunamuona Keita alivyo sasa anastawi vyema kabisa.

Minamino sijui atapangwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wengi huwa sio wazuri uwanjan ila dressing room au mitaani huendeleza ushikamano na kufrahisha wachezaji wengine
Wachezaji hawa huleta happyness katika teammates
As i heard, Lovren nje ya uwanja ndo Joker wa timu na yuko vizr katika communication na wachezaji wengine

Ukiwa na group la watu ambao social skills zao wote ni mbovu ila wana viwango ni rahisi sana wachezaji kukimbia

Sie mashabiki tunawazia in only one side that we seee, the otherside wanajua wachezaji na kocha

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo hilo unalosema kuhusu Lovren ukiodoa jocker ndio la Hendo pia...

Hatuhitaji kulipa $90K na $140k Kwa week ili mradi kuwafurahisha hao wawili..

June 2020 ataodoka mmoja wao...
 
Hahaha no way to bench Salah lol, Wolves play tantalizing football we need Salah upfront to nab their going forward and if they do atawaumiza...

Salah effects on this one will be on spot..

He has a score to settle and Vardy not scoring meaning more believe that he will catch him haha na Mane pia lol.. Whats criss-cross upfront in search of goals..
Kuna li bouncer mle Wolverhampton juzi lilikuwa linawafagia vijana wa Guardiola kama halina akili nzuri!
 
I have said it before on this forum, and am saying it again now... Klopp should consider hooking in this boy next summer. and I think he will if he isn't already.
the kid has got all the necessary attributes that Klopp needs.

an excellent back up to Salah, and could actually cement his place that side permanently with Salah moved centrally whilst Bobby slightly pushed back into that 8 or 10 slot.

just imagine Traore on the right, Mane on the left, Salah wreaking havoc uptop and Bobby pulling the strings just behind him... I tell you hell will break loose!!

View attachment 1306570
Hahaha La Macia outcast finally found a proper place to flourish..
 
HiHaya mambo ya kuhamisha wachezaji namba ndo kuna ua viwango tuwatoe kasolo wachezaji kumbe wanapangwa nje ya nafasi zao huyu Salah amefanya vizuribtu akiwa pembeni sasa kwa nini anawekwa kati?
Tunamuona Keita alivyo sasa anastawi vyema kabisa.

Minamino sijui atapangwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
kilio ni depth, chief....... depth, depth, depth.

embu angalia hili bench letu la leo vs Wolves ndiyo utajua nachosema...
20191229_183453.jpg

halafu Salah ashawahi cheza kati very effectively kwenye 4231.... very effectively.
Klopp amekuwa aki tinker na formation from time to time ili ku win games - hadi kwenye injury time!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom