Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Toa mifano/stats halisi kwa kufanya comparison ifuatayo:

5 Matches with Salah v/s 5 Matches without Salah

Ukiamua kuchagua Matches usiwe biased coz ukisema tulimfunga 5 Everton bila ya Salah, pia ukumbuke tulimfunga Arsenal 5 tukiwa na Salah.

Ukileta Stats ukweli utaonekana, otherwise itabidi muendeleze story zenu tu.

Hii concept ya kuwa bila ya Salah tunashinda nyingi haina Fact yeyote just ni Myth tu.
Sina mifano zaidi ya hizi mechi mbili namuona kama anashikilia sana mipira mpaka adui anajipanga.msimu alio ng'ara alijua kutoa pasi za hakika sasa anatoa pasi akikwama.sisemi ni mchoyo ila anatamani mafanikio yake kuliko team.a melewa mafanikio bila kujua kuwa ndo anajikwamisha.

Salah ndo anasababisha ile front ionekane imechoka.
Firmihno kunasiku alimnyima Salah pasi na kumpa Mane aliemazingila magumu zaidi ya Salah chuki hii ipo hata ukiangalia waliokua wanampoza Mane pale benchi kwenye lile tukio niwazi Salah alichukiwa.

Mechi ya juzi Klopp alipiga kelele baada ya Salah kulazimisha kufunga huku Mane akiwa kwenye nafasi nzuri zaidi nikatafsili huenda ndo sababu akamtoa siku ile mbaya zaidi baada ya kutoka mbele kuka changamka zaidi.
Kila mchezaji ni muhimu kama ataifanyia vyema Club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, its his dream, ila sio guarantee atakuwa manager mzuri, ata Dalglish ni one of the most respected legends in Liverpool ila alivyopewa timu hajaifikisha popote
All in all sio vzr kumpa world class coach tulienae pressure,
Ni kama anajiona akiharibu mechi kumi ata kwa bahati mbaya tayr uongozi utakuwa tayr na jina mkononi
Kama Rangers wamemshindwa Celtic kuja liver ni burgain
Sikuzote nasema, kuipenda timu haimaanishi unauwezo wa kuihandle

Sent from my iPhone using JamiiForums
Go back and do your homework kwa King Kenny mr Tajiri.

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Tnakuunga mkono moja kwa moja Kuna mtu alishawahi kuandika humu NO SALAH NO LIVERPOOL,,mapenzi binafsi hayawezi kuficha ubovu au performancembovu ya mchezaji SALAH Ana mapungufu Tena mengi Ila kubwa ni hilo la uchoyo Ila Kuna watu watatumia nusu ya siku kumlind a kwa kipimo kuwa kaifanyia mazur Liverpool misimu miwili iliyopita halafu wanasahau mchango wa captain ambae Ana misimu zaid ya minne akiwa hakosi namba....kiufupi nawapenda na nawakubali wachezaji wetu wore Ila kila mchezaji Ana mapungufu take na kiuhalisia anapozingua lazima asemwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Henderson been so good for us for the past few weeks (month or so) & i'm a fan now.

But, huo MCHANGO mkubwa wa Henderson for the last 4 years ni upi??

Lets discuss this..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina mifano zaidi ya hizi mechi mbili namuona kama anashikilia sana mipira mpaka adui anajipanga.msimu alio ng'ara alijua kutoa pasi za hakika sasa anatoa pasi akikwama.sisemi ni mchoyo ila anatamani mafanikio yake kuliko team.a melewa mafanikio bila kujua kuwa ndo anajikwamisha.

Salah ndo anasababisha ile front ionekane imechoka.
Firmihno kunasiku alimnyima Salah pasi na kumpa Mane aliemazingila magumu zaidi ya Salah chuki hii ipo hata ukiangalia waliokua wanampoza Mane pale benchi kwenye lile tukio niwazi Salah alichukiwa.

Mechi ya juzi Klopp alipiga kelele baada ya Salah kulazimisha kufunga huku Mane akiwa kwenye nafasi nzuri zaidi nikatafsili huenda ndo sababu akamtoa siku ile mbaya zaidi baada ya kutoka mbele kuka changamka zaidi.
Kila mchezaji ni muhimu kama ataifanyia vyema Club

Sent using Jamii Forums mobile app

Naunga mkono
 
Well with Nike coming on board the transfers will get better though complicated at times and with clubs having that knowledge naona hata bei za wachezaji tukipandishiwa...

But with Klopp steering us forward and with his immense know how to spot talent am sure we would be okay I mean who could have thought this Robbo lad will turn out to be this good at LB for £8m I would say bargain of the decade...

Grujic is EPL bound 2020 2021 season...

If Klopp give a nod for this kid Kai am sure having won the EPL he would want to build afresh in some position and the Club will like they have done in the past Windows support him as he always say they are on guard to nab those rare talent when the price makes sense...

Future is bright and damn brilliant...

YNWA
Kai is a very very very very good player..

But, i think we'll go for a competent wide-man in the summer..

Niliona James Pearce anasema kwa mtazamo wake yeye binafsi anaombea club isajili another competent CM, sasa sikumuelewa maana, ukiachana na Faby & Keita tuna Gini/Henderson/Ox/Milner & Grujic..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ni WC kweli, hasa kutokana na sifa alizojijengea mwaka juzi
Ila lazima unajua kabisa sahivi anaharibu zaidi ya kutengeneza,
He’ll be good again akiacha uchoyo na kuacha kuwazia kuwa top scorer

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hicho kitu ambacho Salah anaharibu, ndiyo nataka nikijue..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, its his dream, ila sio guarantee atakuwa manager mzuri, ata Dalglish ni one of the most respected legends in Liverpool ila alivyopewa timu hajaifikisha popote
All in all sio vzr kumpa world class coach tulienae pressure,
Ni kama anajiona akiharibu mechi kumi ata kwa bahati mbaya tayr uongozi utakuwa tayr na jina mkononi
Kama Rangers wamemshindwa Celtic kuja liver ni burgain
Sikuzote nasema, kuipenda timu haimaanishi unauwezo wa kuihandle

Sent from my iPhone using JamiiForums
Dalglish?

Are you for real?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Divock Origi ataanza leo

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
Tatizo anampanga nafasi ya Mane ningumu sana kwake Origi anafaa kwa mfumo 4 2 3 1 awembele ajabu namuonaga Salah mbele.Salah anakua mtam sana akiwa kulia.Mane hatakiwi kupumzika labda baada ya ushindi mimi naona Shaqil anamudu kucheza nafasi ya Salah.

Boby na Mane hawana m badala labda Minamino akija kufit atacheza kati na hata pembeni.

Origi aingie tu kama mambo yakiwa magumu tena apangwe mshambuliaji wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom