Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lakini tunakawaida ya kupata magoli mengi Salah akiwa nje unalizungumziaje hili?

Sent using Jamii Forums mobile app

Toa mifano/stats halisi kwa kufanya comparison ifuatayo:

5 Matches with Salah v/s 5 Matches without Salah

Ukiamua kuchagua Matches usiwe biased coz ukisema tulimfunga 5 Everton bila ya Salah, pia ukumbuke tulimfunga Arsenal 5 tukiwa na Salah.

Ukileta Stats ukweli utaonekana, otherwise itabidi muendeleze story zenu tu.

Hii concept ya kuwa bila ya Salah tunashinda nyingi haina Fact yeyote just ni Myth tu.
 
Problem niliyoiona ni kwamba Watu wanataka kila Shot anayopiga Salah iwe converted, akimiss tu inaitwa selfish.

Kiufupi watu wanataka Salah asiwe na Missed shot, au awe na Zero shot per 90m. Yani asiattempt shot yoyote bali awe anatoa pasi kila akifika karibu na goli.

Ukimuambia Mtu alete Stats Salah anatengeneza nafasi ngapi kwa kila game, basi ataanza blah blah nyingi.

Kila Mchezaji anapoteza nafasi nyingi zu kafunga, lakini akipoteza Salah inakuwa ni selfish, Why?

Salah sio selfish whether you want or not, otherwise tufute kauli yetu ya kuwa Klopp anajua zaidi coz Salah yupo under Klopp's guidance na klopp hajawahi kumuattack au kutack disciplinary action against Salah for selfishness, why you?
 
Kai is so good,

I think team ambayo ipo serious iki-bid 80-90m itampata..

Kama akija LFC, tutakuwa tume-complete domination for the next 10 years..

I'd like to see Grujic kwenye PL next season, he's been very good this season kule ujerumani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Well with Nike coming on board the transfers will get better though complicated at times and with clubs having that knowledge naona hata bei za wachezaji tukipandishiwa...

But with Klopp steering us forward and with his immense know how to spot talent am sure we would be okay I mean who could have thought this Robbo lad will turn out to be this good at LB for £8m I would say bargain of the decade...

Grujic is EPL bound 2020 2021 season...

If Klopp give a nod for this kid Kai am sure having won the EPL he would want to build afresh in some position and the Club will like they have done in the past Windows support him as he always say they are on guard to nab those rare talent when the price makes sense...

Future is bright and damn brilliant...

YNWA
 
He'll surely leave next summer..

but, he stepped up very well (kulingana na uwezo wake), wakati both Gomez/Matip walivyokuwa nje hapa katikati.., but he'll leave in the summer.

Man, i'm so happy for Coady, anastahili kila jambo nzuri juu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiondoka lovren tumrudishe coady

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This guys always discussing and give much respect to unbeaten fuvcken club liverpool and their players

Huku mkitoa shukran that hando has improved in the pitch nowadays, utafikili kina klop, matip wanapita humu kuwasikiliza, kutwa kuandika paragraph

Mnapoteza muda bure camoon guys

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonesha siku tutakayofungwa EPL utaandaa Party

Hata hivyo na wewe unapashwa uishukuru Liverpool kwa kukupa hela za kwenye Mkeka
 
Inaonesha siku tutakayofungwa EPL utaandaa Party

Hata hivyo na wewe unapashwa uishukuru Liverpool kwa kukupa hela za kwenye Mkeka
Hahahaha huyu Pain Killer full vituko yaani sidano kila akipiga ramli inagusa mfupa yupo kama Ollachuga Oc wewe muache siku atajipiga ban mwenyewe...

If you can't beat them join them..
 
My favorite LFC player kwasasa ni Roberto Firmino.

But, i like to appreciate WC players wanaoipa mafanikio club ninayoi-support kila siku, & Salah ni mmoja wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah ni WC kweli, hasa kutokana na sifa alizojijengea mwaka juzi
Ila lazima unajua kabisa sahivi anaharibu zaidi ya kutengeneza,
He’ll be good again akiacha uchoyo na kuacha kuwazia kuwa top scorer

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1306058

Sent from my iPhone using JamiiForums

Yeah, its his dream, ila sio guarantee atakuwa manager mzuri, ata Dalglish ni one of the most respected legends in Liverpool ila alivyopewa timu hajaifikisha popote
All in all sio vzr kumpa world class coach tulienae pressure,
Ni kama anajiona akiharibu mechi kumi ata kwa bahati mbaya tayr uongozi utakuwa tayr na jina mkononi
Kama Rangers wamemshindwa Celtic kuja liver ni burgain
Sikuzote nasema, kuipenda timu haimaanishi unauwezo wa kuihandle

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitu alichonacho Salah ambacho kipo wazi ni kuwa ile general performance ya Salah ndiyo imepoteza Skills na kuwa haperform vizuri tu na wala sio sababu ya selfishness.
This last standing Pharaoh is a victim of his own making..

It's like this when he scored EPL 32 goal during 2017 - 2018 season that was one hell of achievement,.. When Kane was asked if by then he has new challenger for the golden boot to compete with he said he don't view Salah as his peer rather Salah will be a one season wonder haha and boy nabbed the golden shoe again last season and Kane had to eat his own words minus reaching the feat of previous season which was exceptional...

Mane then following season become more composed did his training and became more clinical and goals started coming and he must thought if Salah can do its why not me.. Remember previous Mane was pathetic infront of the goalie chances came his way but he couldn't convert them to goals so when Salah won the boot and best player in EPL well Mane took some notes and he has not looked back ever since...

Salah nowdays anakabwa balaa by the opponents they know he is our star boy deputised by Mane and Firmino who are both lethal...when fit Klopp 1st name for front players is Salah hawa wengine wanafuata..

What happened at Kings Power iwe tu ka upepo ka uchovu Doha and all minutes has clocked without proper off, may he get better and punish the Wolverhampton today..and fingers crossed he is and will continue to be our star boy..

YNWA
 
I like the look of Berge..

But, we have Grujic already, we need to give this kid a chance..

Kai Havertz will be a DREAM signing, but cant see it happening..lol

Takumi can play as an 8/10 & 11 so it depends na wapi klopp atataka acheze, but he's so good akitokea katikati..

Sent using Jamii Forums mobile app

Lolote laweza kutokea mpiran, lolote
Given ukiangalia mechi zimebaki20

Inshort kinachotupa kujiamini ni kwasabab we’re that good kuwa hapo tulipo, na hopefully we’ll be good kuendelea na form hii tulionayo

Btw tuendelee kukipiga mpaka mwez wa pili hivi mechi zinapoanza kuwa chache, apo ndo ata kombe liandikwe jina letu, au wapambanie Golden trophy

Last season tusingefungwa na Man city tungeshinda combe kwa kuwa invinsible

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lovren haha he is still damn lucky that his partners in business Matip and Gomez are prone to knocks and lay offs otherwise who need self proclaimed best in the world when those two when fully fit their actions speak for themselves...

Coady bhana went in the right club and the rest is history..

Grand to see him at this level and with the CP armband lol sky is the limit..

Wachezaji wengi huwa sio wazuri uwanjan ila dressing room au mitaani huendeleza ushikamano na kufrahisha wachezaji wengine
Wachezaji hawa huleta happyness katika teammates
As i heard, Lovren nje ya uwanja ndo Joker wa timu na yuko vizr katika communication na wachezaji wengine

Ukiwa na group la watu ambao social skills zao wote ni mbovu ila wana viwango ni rahisi sana wachezaji kukimbia

Sie mashabiki tunawazia in only one side that we seee, the otherside wanajua wachezaji na kocha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Toa mifano/stats halisi kwa kufanya comparison ifuatayo:

5 Matches with Salah v/s 5 Matches without Salah

Ukiamua kuchagua Matches usiwe biased coz ukisema tulimfunga 5 Everton bila ya Salah, pia ukumbuke tulimfunga Arsenal 5 tukiwa na Salah.

Ukileta Stats ukweli utaonekana, otherwise itabidi muendeleze story zenu tu.

Hii concept ya kuwa bila ya Salah tunashinda nyingi haina Fact yeyote just ni Myth tu.

Tulimfunga arseno 5 ila 2 from penalties
Tulimfunga everton 5 and none from penalt

Mtu akikosesha magoli6 ya wazi then akafunga moja gumu hio kwa mashabiki wanaona ni kiwango, ila ilo gumu kwangu naweza kusema ni kulazimisha na bahati pia, though sometimes nampa credit kwa kuweza kuipata hiyo chance
Kukosa kupo, ila kukosa kwa uchoyo au kutokuangalia nan yuko free nako ni shida

Kuna hili goli alilokosa
View attachment 1306312

In the same angle(even harder) against swazburg alipata, na tukalisifia, hii ya apo juu alikosa, apo akiwa na options nyingi mana kuna mane apo na firmino alikuwa apo pemben kidogo juu
Hii inaonesha ana hunger na goal kuliko kupata uhakika wa team ifunge

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
This guys always discussing and give much respect to unbeaten fuvcken club liverpool and their players

Huku mkitoa shukran that hando has improved in the pitch nowadays, utafikili kina klop, matip wanapita humu kuwasikiliza, kutwa kuandika paragraph

Mnapoteza muda bure camoon guys

Sent using Jamii Forums mobile app
Wuuuuh,, these boys what kind of fucking football they are playing! You can't imagine! The haters are wasting their time for nothing! Painkiller you better join these fucking squad!
 
Problem niliyoiona ni kwamba Watu wanataka kila Shot anayopiga Salah iwe converted, akimiss tu inaitwa selfish.

Kiufupi watu wanataka Salah asiwe na Missed shot, au awe na Zero shot per 90m. Yani asiattempt shot yoyote bali awe anatoa pasi kila akifika karibu na goli.

Ukimuambia Mtu alete Stats Salah anatengeneza nafasi ngapi kwa kila game, basi ataanza blah blah nyingi.

Kila Mchezaji anapoteza nafasi nyingi zu kafunga, lakini akipoteza Salah inakuwa ni selfish, Why?

Salah sio selfish whether you want or not, otherwise tufute kauli yetu ya kuwa Klopp anajua zaidi coz Salah yupo under Klopp's guidance na klopp hajawahi kumuattack au kutack disciplinary action against Salah for selfishness, why you?

Yawezekana huangalii mpira anangojea matokeo, or yawezekana pia tuna mitazamo tofauti

Ila ukiona ata pundits wanasema ni mchoyo basi jua kuna occussion nyingi wameziona

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
This guys always discussing and give much respect to unbeaten fuvcken club liverpool and their players

Huku mkitoa shukran that hando has improved in the pitch nowadays, utafikili kina klop, matip wanapita humu kuwasikiliza, kutwa kuandika paragraph

Mnapoteza muda bure camoon guys

Sent using Jamii Forums mobile app

TRUE
Ila tunajifariji tu wakati hatupati chochote
Tushakuwa slaves kwa jina basi

sometimes huwa naona kabisa ni ujinga kuwa mshabiki maana lets say liverpool wakanunua kila walichonacho Man U, from wachezaji to stadium, the liver wachezaji wake pia pamoja na stadium wakanunuliwa na Man U, almost washabiki wote wataendelea kushabikia jina, Things are crazy bro

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni dhahili una chuki binafsi na Salah

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina chuki na mchezaji yoyote ila i talk what i see
Ni kama kumsifia suarez wakat kaisha sikuiz
Kuna vitu vipo apa dunian vinatuendesha bila binadam kujua

Ni kama in movies unajikuta unashabikia mtu ambae stori yake unaijua, kwa staring au ata kama Stori imabase kwa upande wa jambazi kuu utalishabikia hilo, ndo maana kila mtu ana historia yake ya kuanza kuishabikia Liverpool humu
Ndo maana tanzania ni ngum kukuta shabiki wa Newcastle au Westham, ukiwaona ni haters tu hao
Kwa huyu bwana mdogo Salah, most people only see what they want to see

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom