Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

'Bring on Saturn!' - World champions Liverpool ready to take on the universe

Hahahahaha,huu uzi umekuwa wa moto sana siku hizi.
Mbwembwe kibao,mshindwe kunenepa tu.
Malizeni kwanza hii disemba mkiwa salama ndio muanze kutapika fujo zote,its not over yet King Ngwaba
 
Before Klopp revolution ya Fullbacks I was very interested na Fullbacks zinazokaba zaidi hasa kwenye 1to1 situation, But now namrate zaidi FB kwenye kushambulia na kucreate nafasi kwa Forwards kuliko kukaba.

That's why ninajuwa wazi kuwa TAA kwenye kukaba ni totally shit even Ki-Jana anaweza Kuwa bora kuliko yeye achana na Bissaka.

But TAA namkubali muda wowote mbele ya Bissaka kwa ushambuliaji wake.

Bissaka simkubali kuja Liverpool hata kwa free agent coz anaweza kucheza misimu miwili mfululizo bila ya kuwa na assist hata moja.

He's not Klopp's type of player
Spot on!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7099.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mabeki wengi wa pembeni husifiwa kwa uwezo wao wa kupandisha mashambulizi.........

hio kukaba mpk kivuli zilikua tabia za kiitalia
Before Klopp revolution ya Fullbacks I was very interested na Fullbacks zinazokaba zaidi hasa kwenye 1to1 situation, But now namrate zaidi FB kwenye kushambulia na kucreate nafasi kwa Forwards kuliko kukaba.

That's why ninajuwa wazi kuwa TAA kwenye kukaba ni totally shit even Ki-Jana anaweza Kuwa bora kuliko yeye achana na Bissaka.

But TAA namkubali muda wowote mbele ya Bissaka kwa ushambuliaji wake.

Bissaka simkubali kuja Liverpool hata kwa free agent coz anaweza kucheza misimu miwili mfululizo bila ya kuwa na assist hata moja.

He's not Klopp's type of player

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu waliwapinga na kuwachukia mitume na manabii sasa hao wachezaji ni akinanani labda wasipingwe. Afuu usichokijua ni kwamba 85%ya washabiki wenye fahamu zilizotulia wa LFC wanajua kua hendo ni shit tu anapokua kwenye pitch
Nb:akifanya mazur twamsifu akizingua tunamsema maana anakiwango kikubwa cha shit kuliko mazur anayofanya
Ova
 
Hiyo 85% kwa research ipi?
 
Kila timu ishinde mechi zake hakuna namna...

YNWA
I conquer with you mkuu, kila mtu ashinde za kwake safari hii hakuna kubebana! Nakumbuka sana mwaka Jana tulivyowategemea Chealsick na Manure watusaidie kumsimamisha Manshit hapo kwa mechi moja tu, jamaa wakaachia! Safari hii huo msaada hatuutaki tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom