Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na timu inayopambana sana kwetu ndio powa meaning hawatakaa kutusubiri tuwafuate..

It's will be an open game..

Ushindi upo..

Winning is like dope man if u win and win you become addicted..

Winning at Doha will push the boys to keep believing huu msimu upo mikononi mwetu..

Game Kwangu naona imekaa kimtego ni ya Wolverhampton lol wale jamaa hua ni usumbufu tosha..
Our next 6 matches ni make or break

Tuna Leicester, wolves, totts, Sheffield, manure, wolves again

Very tough ride
 
Hilo hilo tu Mkuu, achana na hizo kelele tumeshakubaliana kwamba tuwaheshimu wachezaji wote. Sasa wewe kila siku unashusha nyuzi za Hendo kana kwamba unafurahia kukwaza watu hapa jukwaani! Ujue mkuu huwa kuna jini la fitina, ambalo likiona mahali pa na furaha linajichomeka katikati ili kuvuruga furaha, sasa naona limekukalia ndio maana kila wakati unashusha hayo mashudu yako!
Hendo is not even in top 7 players for the current squad

Ni kuchafua hewa Tu

We have the best defender, best keeper, best fullbacks and two of the most potent attackers

Let alone faby the anchorman
 
Hahaha duuh Mkuu King hivi husisimki ukiwataja hao wachezaji uchwara Wa enzi hizo maana tulipotea haswaaa imagine unamuuza Surez jembe unaleta Lambert na Super Mario man that was us in the darkest period...

Kwangu Lallana, Hendo, Origi are just damn lucky to still be here and rubbing shoulders with the like of VVD, Allison, Mane, Fabby nk maana ni wachezaji Wa kawaida mno tena mno.. But for Klopp he has found a way of mixing the team and get the best of this boys regardless of their different levels...

With Klopp now here to 2024 am sure we will be seeing more upgrade to what we currently have..

And also we have to plan for life without some of our super stars wakiumua to search for new challenges.. Hatuwezi kuwategemea akina Lallana, Origi, Chamberlain, Shaqir...

Klopp wasn't brought to manage mediocre players ndio maana mdogo mdogo amekua akiuza au kuwaacha bure na kununua viwango anavyohitaji..

In Klopp we trust...
Nikupe taarifa tu origi ameongeza mkataba mwaka jana wa miaka minne.

Nadhan tumeelewana asistant coach wa klopp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the Liverpudlians are well known for their humility and being humble, as our colossus himself gives testimony.

sisi fans wa LFC watu wasituchukulie poa kabisa. ni watu waungwana kupindukia!

20191223_104514.jpg
20191223_104707.jpg
20191223_105251.jpg
 
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums

Humu ndani ukitumia akili sana utajiumiza, BTW una akili za kutumia?
 
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums

Usiumize Kichwa Tajiri wetu, Hatuna Akili sisi. Happy?

Siku tutakapofanana mawazo sote humu ndani na tusiweze kutofautiana kimawazo kwa chochote ndiyo tutakuwa na akili kama wewe Tajiri Genius.

Mimi Ninakushauri tu "ANZISHA UZI WAKO AMBAO UTAEKA SHARTI KUWA WATU WOTE WAPOST MAWAZO NA MITAZAMO SAWA KWA KILA KITU BILA YA KUTOFAUTIANA" coz kwenye uzi huu lazima tutatofautiana Mitazamo na Mawazo hata kama hupendi, Na si rahisi kutulazimisha sisi tufanane na wewe kimtazamo dhidi ya Mchezaji yeyote yule.
 
Our next 6 matches ni make or break

Tuna Leicester, wolves, totts, Sheffield, manure, wolves again

Very tough ride
Tough indeed man...

The next six will define our season, so far the season statement has been no slip up we keep fighting till the last whistle that why we have scored I think a league high from 80minutes to the last whistle..

The difference from previous seasons is that we are no longer trophy less like em pundits used to say now we are made of serial winners like Allison and Firmino has 4 medals and trophies in this calendar year.. Whereas the other player has 3 each and man that a big boast cz its now in our DNA aiming and being lethal to win and win..

Patience is required in all those games you mentioned something that has increased since the start of the season we now play our game and be very patient as we unlock the opponents..

Gomez, Firmino and Keita getting their form back have come when needed..

Hopefully the Japanese Prince will be up to speed and rock the boat in EPL..

The good thing even our competitors are feeling the heat of the many games and Pep has written complains to Premier League as to why they play 2 games within 48 hours..

Yajayo yanafurahisha..
 
Nikupe taarifa tu origi ameongeza mkataba mwaka jana wa miaka minne.

Nadhan tumeelewana asistant coach wa klopp

Sent using Jamii Forums mobile app
Every team needs squad and updating the value of their players

Hata lallana aliongezewa

Ninaamini addition, is just one of the signs Kwamba upgrading on progress

Signing ox, faby, keita, and retaining grujic and Wilson is no accident

Milner new contract is good for two things, he's kiraka and secondly, if anyone wants him, they have to buy.... Not free
 
Humu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
Taja mchezaji anayechukiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom