Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
Mpuuzi huyo jamaaUsiumize Kichwa Tajiri wetu, Hatuna Akili sisi. Happy?
Siku tutakapofanana mawazo sote humu ndani na tusiweze kutofautiana mawazo Kuwa chochote ndiyo tutakuwa na akili kama wewe Tajiri Genius.
Mimi Ninakishauri tu "ANZISHA UZI WAKO AMBAO UTAEKA SHARTI KUWA WATU WOTE WAPOST MAWAZO NA MITAZAMO SAWA KWA KILA KITU BILA YA KUTOFAUTIANA" coz kwenye uzi huu lazima tutatofautiana Mitazamo na Mawazo hata kama hipendi, Na si rahisi kutilazimisha sisi tufanane na wewe kimtazamo dhidi ya Mchezaji yeyote yule.
Anadhani watu kutokubali idea ndio hating
We don't want sifa za kijinga

