Checking for where it says Aston Villa VS Liverpool U23 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. History will have it that Aston Villa beat Liverpool by 5 goals to nil[emoji41]
We mzee bhna [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]Aisee likizo noma. Nimegonga nyagi yangu nikalala siku nzima. Nawasha simu naangalia livescore... naona kitu cha tano bila. Kabla sijazimia nikaangalia line up.... Ah keimamae nikawasha tena chupa jingine la nyagi kiroho safi kabisa...
Itakusaidia wahiyo mkuu,au ndio watapewa kombe kama history itaonesha hivyo? Aina maana tena hiyo ndio imeishia hapa .aende akachukue kombe sasa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mashabiki wa Arsenal:: hawa madogo waliofungwa 5, ndio waliowatoa, tulimuongeza Milner na Origi tu
Kila kitu ni mipangoGoli tano ni nyingi sana aisee.
Karoho kanauma japo haina shida as long as ratiba yetu haikuruhusu timu kubwa kushiriki.Aisee likizo noma. Nimegonga nyagi yangu nikalala siku nzima. Nawasha simu naangalia livescore... naona kitu cha tano bila. Kabla sijazimia nikaangalia line up.... Ah keimamae nikawasha tena chupa jingine la nyagi kiroho safi kabisa...
Hii carabao naona dharau nying [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Et ooh tunataka
Uefa
Super cup
Epl
World cup,
Hata hivyo juu vinaweza kupita kushoto kuku nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli tano ni nyingi sana aisee.
Haya maneno ya kuwa tumefungwa kwasababu ni:
Kombe ni kombe la Mbuzi
Kombe lisilo na maana
Kombe hili hatulitaki
Na maneno mengine mfano wa haya yote hayana maana na sio maneno ya Kimpira.
Kabla ya hii game hapakuwa na Maneno haya.
Tukubali tumefungwa.
Nikiwa Ndani ya KANDAHAR from Arusha kuelekea Dodoma ambapo leo Mtanange nitauangalia ndani ya Dom
View attachment 1296344
Yes huo ndio uwanamichezoHaya maneno ya kuwa tumefungwa kwasababu ni:
Kombe ni kombe la Mbuzi
Kombe lisilo na maana
Kombe hili hatulitaki
Na maneno mengine mfano wa haya yote hayana maana na sio maneno ya Kimpira.
Kabla ya hii game hapakuwa na Maneno haya.
Tukubali tumefungwa.