Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijawahi kushabikia timu nyingine yoyote Wingerezani zaidi ya Liverpool. Leo navunja mwiko kwa kushabikia timu tatu kwa pamoja...

Kila la kheri Arsenal the Gunners. Mungu awapiganie mshinde salama

Everton mbarikiwe sana na Yehova

Wolves Mungu ang'arishe meno yenu muweze kula kwa amani

Naomba na kushukuru. AMEN
 
Pole. Unavyo comment Mara nyingi watu tunaona Kama unalaumu.
Kwa mfano: Mane amekosa goal. Ukianza na: Aaaagh! Mane vipi huyu!?
Ameanza Mambo take ya desemba!
It is purely blaming
Ukisema," Leo xxxxx game imemkataa" Hiyo sio blaming.
Lugha ya kiingereza wanaita" Euphemism. Kiswahili tunaita Tafsida.
Ndiyo raha ya Moira kubishana. Football is a controversial game. Kila mmoja ana Jicho lake.
Relax.
 
Anaweza asicheza.
 
Nike wanajipanga kuingia kwa kishindo tetesi ni kwamba atue Mbappe au Neymar...

Ishu ni Klopp aafiki na Real(Mbappe) na Barca(Neymar) wachemke..

Upo uwezekano PSG kudai Mane aunganishwe kwenye dili ya yeyote kati ya hao wawili..

Kwangu bora tuwakose na Mane abakie..
 

Kwa Neymar bora nibaki na Henderson kuliko kusajiliwa Neymar akaja kuiharibu dressing room.

Lakini kwa Mbappe! Nipo tayari timu nzima iondoshwe abaki VVD na Alisson peke yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…