Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
S205Game ya Liverpool inaonyeshwa channel gani? Kwa WATU wa dstv
S205Game ya Liverpool inaonyeshwa channel gani? Kwa WATU wa dstv
Mungu ibariki LiverpoolSasa hivi Liverpool hata nikianza mimi tunashinda.
Msiwaze
Inatisha mkuu jamaa walishakumbali tunawachelewesha...Salzburg hawana cha kupoteza second half watakuja kujilipua tu



Hovyo sanaMo salah mo salah mo salah nakuita mara 3 unatutia presha hukuuu![]()
Game on...Keitaaaaaaaaaahhaa