Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa ukute mjadala wa MosDef na Captain Marvelous , hawa washenzi wahedi na vingereza vyao wanavyochanganya kwenye mijadala lazima upate neno jipya la kujidai nalo huko whatsap groups, ni vile tu nimeacha kupiga mazongo, ila ningewarushia mazongo waharishe mpaka wazimie kwa wivu nilionao dhidi yao jinsi wanavyochambua mpira, huyu mpuuzi King Ngwaba ni jeshi la mtu mmoja, wakija wapuuzi na hoja zao uchwara lazima awapumzishe kwa nock out ya mapweinti yaliyoenda shule, ona tajiri alivyonywea na yule mwenzake Liverpool Halisi
Yaani anaweza kuandika kitu ambacho ninatofautiana naye, shida ikawa jinsi gani naunda hoja, supporting evidences, technical analysis na mengine kibao. Mwisho wa siku nakuwa mpole.

Man Utd ajitahidi atoe draw, ingawa ni kitu cha ajabu kutokea.
 
Sasa ukute mjadala wa MosDef na Captain Marvellous, hawa washenzi wahedi na vingereza vyao wanavyochanganya kwenye mijadala lazima upate neno jipya la kujidai nalo huko whatsap groups, ni vile tu nimeacha kupiga mazongo, ila ningewarushia mazongo waharishe mpaka wazimie kwa wivu nilionao dhidi yao jinsi wanavyochambua mpira, huyu mpuuzi King Ngwaba ni jeshi la mtu mmoja, wakija wapuuzi na hoja zao uchwara lazima awapumzishe kwa nock out ya mapweinti yaliyoenda shule, ona tajiri alivyonywea na yule mwenzake Liverpool Halisi

King Ngwaba ni shida nyingine, hachelewi kumwaga statistics lundo kwenye ubishi mdogo.

Hapo mbishani anabaki kusema "ooh, unajifanya unajua".

Ila Liverpool Halisi ni kichwa ngumu ile, haiwezekani.
 
Nimecheka sana yaani unawatukana alafu unawasifu wewe mtu wewe.....
Sasa ukute mjadala wa MosDef na Captain Marvellous, hawa washenzi wahedi na vingereza vyao wanavyochanganya kwenye mijadala lazima upate neno jipya la kujidai nalo huko whatsap groups, ni vile tu nimeacha kupiga mazongo, ila ningewarushia mazongo waharishe mpaka wazimie kwa wivu nilionao dhidi yao jinsi wanavyochambua mpira, huyu mpuuzi King Ngwaba ni jeshi la mtu mmoja, wakija wapuuzi na hoja zao uchwara lazima awapumzishe kwa nock out ya mapweinti yaliyoenda shule, ona tajiri alivyonywea na yule mwenzake Liverpool Halisi
 
Mimi sina tatizo na Mtu yeyote humu kimtazamo na kifacts.

Ila nakuaga na matatizo na wale ambao wanasubiri Mtu apost kitu then wanarukia kumpinga.

Unaweza ukachallenge mawazo ya Mtu bila ya Kumpinga! Au haiwezekani?

Kwa mfano umeona mtu kapost kitu hakiendani na Mtazamo wako! Basi wewe usikimbilie kumquote kwa kumpinga, Bali andaa post yako then ipost hapa! Sisi tutaisoma na kuangalia facts kama Luna challenge ndani Yake si tutakuquote!!! Hapo utakuwa umewajibu watu wengi kwa wakati mmoja.

Lakini wewe kiongozi hupost kitu bali unasubiri Mtu ameandika maoni yake then unakuja kumpinga! Sio fair brother.

Halafu ukisema mimi najiona kiwa kila ninachopost najiona nipo sawa basi unakusea.

Hebu pitia post zangu humu au uliza wazoefu humu wakwambie sifa zangu.

Kwanza mimi ni katika watu ambae Mara chache sana humu tunaquote post za watu.

Mara nyingi huwa naandika post zangu mwenyewe kwasababu naamini Kuwa kila Mtu ana haki ya kuchangia humu.
Aiseeh kumbe unakuwaga mpole hivi....safi sana,
Kwa mwenendo huu waweza kuwa KING NGWABA sio King Ngwaba ,maana umeongea kibinadam mno....
 
Ynwa

When you walk through a storm
Hold your head up high
And don't be afraid of the dark

At the end of a storm
There's a golden sky
And the sweet silver song of a lark

Walk on through the wind
Walk on through the rain
Though your dreams be tossed and blown

Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone

You'll never walk alone

Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone

You'll never walk alone
 
IMG_6845.JPG
 
Na huyu jamaa yetu Ladder 49 kwa picha tu anastahili tuzo, anaturahisishia sana,

Babu Asprin bado analewa mikonyagi tangu Liverpool amfunge Manshiti, hajui hata kama tulishacheza na game nyingine baada ya ile ya Manshiti na wala hajui kama leo tena tunaongeza mzigo wa fimbo kupunguza Goal difference
King Ngwaba ni shida nyingine, hachelewi kumwaga statistics lundo kwenye ubishi mdogo.

Hapo mbishani anabaki kusema "ooh, unajifanya unajua".

Ila Liverpool Halisi ni kichwa ngumu ile, haiwezekani.
 
Na huyu jamaa yetu Ladder 49 kwa picha tu anastahili tuzo, anaturahisishia sana,

Babu Asprin bado analewa mikonyagi tangu Liverpool amfunge Manshiti, hajui hata kama tulishacheza na game nyingine baada ya ile ya Manshiti na wala hajui kama leo tena tunaongeza mzigo wa fimbo kupunguza Goal difference

Shida ya forwards zetu zikishapata goli moja zinawaste sana opportunities.

Muhimu ni kuombea ushindi wa points tu.
 
Ukishatoka Morogoro mjini Hakuna tena Network ya 3G mpaka kufika Gairo.

Na ukitoka Gairo tu basi 3G unakuja kuipata Stand ya Nanenane Dodoma.

So ni Vigumu sana Kustream online kwa leo.
Mbona kishindo cha awamu ya 5 wanasemaga barabara yote toka Dar mpaka Dom ni 4G? Kazi kweli kweli!
 
Mimi sina tatizo na Mtu yeyote humu kimtazamo na kifacts.

Ila nakuaga na matatizo na wale ambao wanasubiri Mtu apost kitu then wanarukia kumpinga.

Unaweza ukachallenge mawazo ya Mtu bila ya Kumpinga! Au haiwezekani?

Kwa mfano umeona mtu kapost kitu hakiendani na Mtazamo wako! Basi wewe usikimbilie kumquote kwa kumpinga, Bali andaa post yako then ipost hapa! Sisi tutaisoma na kuangalia facts kama Luna challenge ndani Yake si tutakuquote!!! Hapo utakuwa umewajibu watu wengi kwa wakati mmoja.

Lakini wewe kiongozi hupost kitu bali unasubiri Mtu ameandika maoni yake then unakuja kumpinga! Sio fair brother.

Halafu ukisema mimi najiona kiwa kila ninachopost najiona nipo sawa basi unakusea.

Hebu pitia post zangu humu au uliza wazoefu humu wakwambie sifa zangu.

Kwanza mimi ni katika watu ambae Mara chache sana humu tunaquote post za watu.

Mara nyingi huwa naandika post zangu mwenyewe kwasababu naamini Kuwa kila Mtu ana haki ya kuchangia humu.

Nachomaanisha mtu ukipenda timu sana unakuwa unataman mafanikio sana kiasi kwamba unapoteza uhalisia wa kitu, ni kama ww ukimpenda sana mschana wako unaanza kufikiria we pekee ndo unampenda dunia nzima, kiasi kwamba maamuzi utayoyafanya ya kuonesha upendo(either wivu sana au kuwa bwege karibu yake) unaweza ukawa unaharibu kwake ila kwako we unajiona uko sahihi
Najua hamna mtu umu mwenye mapenzi ya hii timu kama ww, kwa jins ninavyoona kijuujuu japo sina uhakika, we na masfyale(sorry for spelling) japo unajua kabisa haina kuipenda haina faida kwako
Binafsi naipenda sana ila ni determination ndo zinazonipush ndo maana najijua sina mapenz saana kuliko nyie
Binafsi ninachotaman ni kupata kombe hili basi nijaribu kuikacha niendelee maisha bila pressure

Inaonesha hupend kuquotiwa ila hujajua we ni moja ya muanzisha mada mkuu humu kwenye thread, ko usikasirike nikikuquote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom