Wewe jamaa una shida somewhere si bure. Na ndiyomana unatumia muda mwingi kuquote post za wenzako kuliko kupost mawazo yako mwenyewe.
Hivi hii kucritisize kila wanachopost wenzako inakusaidia nini brother???
Si kila mtu anatoa mawazo ya kwake na wewe weka ya kwako hapa? Kwani lazima upinge mawazo ya wengine?
Hebu jijengee utamaduni wa kuleta analysis zako hapa mbona tutazisoma na kuchangia au tutaraise hoja na utazijibia! Shida nini?
Brother badilika sisi washabiki wa Liverpool hatuna tabia ya kubishaana bali tuna tabia ya kujengeana hoja.
Hebu angalia post zetu mimi na
Don Clericuzio alipozungumzia ubora wa Adrian! Mbona sikumpinga mawazo yake bali tulipeana challenge kwa hoja na yakaisha.
Wewe ni wa ajabu sana ingawa ni Tajiri.
Tatizo lako hujui nafata nn humu na lazima unipinge maana kuna kitu nakipinga kutoka kwako
Binadam tuna tatizo mpja la kujiona we’re the masters of our worlds bila kujua kila mtu anajiona hivyo
Mda mwingi nakuaga bizze, na nikipita humu nataka nipate taarifa nyeti na reaction ya binadam kama shabiki wengine, ila nikiona mtu kakosea na anadhani kabisa yuko sahihi lazima niongee,
Sikatai kuna wachezaji wanaocheza vizr kuliko Hendo
Ila ili hao wachezaji wacheze vizr ni inabidi mfumo ubadirike
Na inabidi tucheze mchezo flan hv
Ndo maana kuna siku za nyuma niliona watu humu ukiwemo unashangilia kuwa tukiwa tumefungwa hendo anatolewa anaingizwa Keita( vs Man united), huu nikawa naona ni kama kutokujua unachoongelewa na kutokujijua na kuanza kusifia performance kubwa ya keita siku ile bila kujua majukumu na kwann katolewa, hii hainatofaut ya na beki akiingia akatolewa foward
Watu mnashindwa kuelewa logic ya Gem tempo na scoreline
Ni kama wale wengine wanaongea ujinga, kuwa tulikuwa tuna bahati( vs Man city), kwani wangeongeza mda ata dk 5 magoli yote yangerud na kuongeza mengine
Hii yote waga naona ni bullshit tu mtu anaongea ongea
We jamaa nishakwambia una mapenz na timu sana, myb ata kuriko wote humu, ndo maana unajiona kila utachokipost ni kama bora kuriko vya wote humu, sikatai, because your in your world na unajiona ryt kwa unavyoviexperience, ila haimaanishi kuwa ndo bora zaid ya wote
Am not very active, and i’ll not be, you do what you love, ndo maana upo humu kila siku, ila najua most of liverpool games naangalia, iwe nyumban au kwenye simu, mostly huwa naangalia, ila wengi mnachoshindwa kutofautisha ni consistence na kiwango