Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Shida ni nyie watuHii game inaweza kuisha draw.
Shida ni nyie watuHii game inaweza kuisha draw.
Sasa unataka tu comment huku tunacheki mechiNyie Baba Swalehe ndio wa kukimbia mechi nyie mpaka mnatuacha wawili tu? Ha ha ha haaaa,,
Raha ya derby ni kuangalia kwa utulivu aisee...Sasa unataka tu comment huku tunacheki mechi
Akili za wapi hizi
Sahihi kabisaSasa unataka tu comment huku tunacheki mechi
Akili za wapi hizi
Naona partnership ya gini na shaq itakua poa sana kwenye kiungo cha mbele huku Henderson na Milner kwenye holdingShaqiri ameongeza ubunifu hapo kati hatari hasa baada ya Lallana kutolewa timu ikanoga sana.
Gini akasogezwa mbele kidgo mpaka amefunga
Nafikir klopp azidi kuzichanga karata zake vizuri rotation huenda ikaongeza uhatari kwa wapinzani.
Score ingesoma 7 lakini naona Mane kipindi cha pili hakutulia kumalizia zile nafasi 2 adimu...Shaqiri ameongeza ubunifu hapo kati hatari hasa baada ya Lallana kutolewa timu ikanoga sana.
Gini akasogezwa mbele kidgo mpaka amefunga
Nafikir klopp azidi kuzichanga karata zake vizuri rotation huenda ikaongeza uhatari kwa wapinzani.
Pass za hendo zile mbiliScore ingesoma 7 lakini naona Mane kipindi cha pili hakutulia kumalizia zile nafasi 2 adimu...
Kiatu cha mfungaji bora itapendeza zaidi akikimbakisha..
It's just one of those nights for soon to be Africa Player of the year...
nwa fingers crossed 3 points won whats a way to start this busy December so far so good...
Nzuri sana.Naona partnership ya gini na shaq itakua poa sana kwenye kiungo cha mbele huku Henderson na Milner kwenye holding
No cleanshit as usual
Yah ndio uzuri wa Big Shaq anakupa option nyingi za kumtumia.Nzuri sana.
Shaq anaendana na wengi.
Akicheza na salah hua ni nzuri
uzur wa shaq AM and wing zote huzimudu kwa ubora
Yaani hata Zumbe mkuu naye ni mtu wa kula kona kweli? Siamini macho yangu!
Hapa hayumo kwani ?View attachment 1281776