Naona Penison tumebaki wenyewe wengine wameenda kulala!Big Shaq is Back.
Baada ya kuona Lineup tu wakala kona.Naona Penison tumebaki wenyewe wengine wameenda kulala!
Ha ha haaaa, sijawahi kuona mashabiki waoga kama hawa!Baada ya kuona Lineup tu wakala kona.
No cleanshit as usual
TrueKwa sasa Muhimu 3points kwa kila mechi Hizo cleansheet mwakajana hazikuwa na tija Kwetu zaid kwa mchezaji tu
Yaani hata Zumbe mkuu naye ni mtu wa kula kona kweli? Siamini macho yangu!Baada ya kuona Lineup tu wakala kona.