Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6793.JPG
 
Mechi 3 zinazokuja kazi tunayo,, kama Adrian hatatulia haki ya nani twafa! Jana kuna moja ameitema almanusura aisukumizie wavuni! Najua mechi hizo pressure itakuwa juu sana kwetu mashabiki!
Adrian anahitaji training ya kutosha ili again confidence , adrian kacheza sana EPL na westham utd.. kwangu mm sio golikipa mbovu kiivyo kama tulivyomuona game iliopita dhidi ya brighton, alionekana mwenye makosa mengi sana kwa mda mfupi aliokuwa uwanjani simlaumu sana kwasababu hakupata hata mda wa kufanya warm-up

kinachoitajika ni confidence tu na kuchukulia game ya leo kama game nyengine za kawaida , asipokuwa makin game itakuwa na magoli mengi leo kwa pande zote mbili..

Alisson ataukosa mchezo wa leo then atarejea jumamosi dhidi ya bournemouth hii ni habari nzuri kwetu...

vipi unaionaje game ya leo,liverpool itashinda? je liverpool ita drop points dhidi ya everton dhaifu ?
 
Adrian kama mlimuona ni golikipa ambae huwa ana gain confidence game baada ya game , adrian kipindi amekuja alikuwa na poor ball distribution lakini aliweza kujirekebisha ndani ya mda mfupi sana , kama aliweza kupata cleansheet 2 kwanini leo asipate ya 3 ....
 
Adrian anahitaji training ya kutosha ili again confidence , adrian kacheza sana EPL na westham utd.. kwangu mm sio golikipa mbovu kiivyo kama tulivyomuona game iliopita dhidi ya brighton, alionekana mwenye makosa mengi sana kwa mda mfupi aliokuwa uwanjani simlaumu sana kwasababu hakupata hata mda wa kufanya warm-up

kinachoitajika ni confidence tu na kuchukulia game ya leo kama game nyengine za kawaida , asipokuwa makin game itakuwa na magoli mengi leo kwa pande zote mbili..

Alisson ataukosa mchezo wa leo then atarejea jumamosi dhidi ya bournemouth hii ni habari nzuri kwetu...

vipi unaionaje game ya leo,liverpool itashinda? je liverpool ita drop points dhidi ya everton dhaifu ?
Mkuu wewe acha tu,, hapa pressure inapanda pressure inashuka! Vijana wakitulia tutashinda ingawa kwa mbinde!
 
Hivi unaongea tu bila fact ndo shida yako, unaleta maneno mnao ongea vijiweni. Messi sio forward tu, Messi ni best playmaker Europe, Best assist in Europe, UEFA top scorer, UEFA most MOT, eufa top scorer, la liga top scorer, La liga best player, la liga most MOT, that we call individual performance, sio unaleta siasa za Kwenye vijiwe vya Kwenye kahawa, kwani huyo Vvd alikua anazuia pekeake, Akina matip, Trent, Alison na Robertson hawakuwepo.
Let statistics tukuelewe .
Hoja zilizokufa. Messi anacheza peke take? Anadaka,anapiga Kona yeye. Anafunga yeye.
Katika ulinganifu week common factor.
 
Mid ikianza hivi
Gini Millie Henderson tutakua na mechi ngumu zaidi
 
preshaaaaaaaaaaaaaaaaaa ipo juu utosini kwa sasa.

Klopp tusamehe bro.
This is total unpredictable.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom