Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Unai huyu huyu....????huyu huyu.....????
Ebwanaeeeee....
Bringback our Unai(natania)

Unai huyu huyu....????huyu huyu.....????
Ebwanaeeeee....
Bringback our Unai(natania)

Ha ha ha haaaa,, tunataniana mkuu wangu!Wewe una shida aiseeeh,eti sabato nini???
Nyingine?Kasaidia timu yake mpaka imechukua uefa. Kama ujalizika sema nikutajie sababu nyingine.
Kama miaka 29 hujapotea iweje mimi nipotee ???bado sanaNyie ndo mnapotea mdogo mdogo.
Tutawasahau kama Leeds.
Kwa sababu hiyo nafikiri haitoshi kabisa kumpa maana kina Iniesta,Xavi,Wensley Sjneider,Etoo n.k wangeshapata kupitia hiyo sbb,Kasaidia timu yake mpaka imechukua uefa. Kama ujalizika sema nikutajie sababu nyingine.
Wameenda na maji.FA CUP DRAW
liverpool v Everton
Nyingine?
"You need to respect greatness"....VVDKasaidia timu yake mpaka imechukua uefa. Kama ujalizika sema nikutajie sababu nyingine.
Kwa sababu hiyo nafikiri haitoshi kabisa kumpa maana kina Iniesta,Xavi,Wensley Sjneider,Etoo n.k wangeshapata kupitia hiyo sbb,

Au timu ikishachukua UEFA ndo anatakiwa kushinda Ballon d'or? Kama ndo hivyo vipi akina Verane walioshinda UEFA na world cup Hata top 3 hawakuwepo?
Au mbona usemi mane anaweza mana hata yeye magoli yake yaliisaidia Liverpool kushinda UEFA?
.Jamani mbona kimya tujipongeze
Tumetoa wachezaji wawili top three
Rise up reds
Yani mnaoshabikia timu badala ya mpira shida sana.Mkuu ukichukua la laliga ndio unastaili upewe hiyo tuzo ha ballon d’or. Na Sio uefa.
Messi ni mshambuliaji( forward) na VVD Ni mzuiaji( CB).Yani mnaoshabikia timu badala ya mpira shida sana.
Alison Beka na vvd nani ana makombe mengi msimu huu?
Maherez na vvd nani ana makombe mengi? Benaldo Silva na vvd nani ana makombe mengi msimu uliyopita? Fabinho na vvd nani alikua na makombe mengi?
Hizi tuzo haziangalii mafanikio ya clabu, zinaangalia individual performance.
Ndo mana Kwenye mashindano ya UEFA kupewa vvd alistahili kuliko Messi kwa sababu vvd alifika fainali na kuchukua ubingwa wa hayo mashindano.
Lakini general individual performance kwa msimu Messi was so far away than VVD.
Tafuta statistics za kila mmoja uzilete hapa
Hizi Award zinashiriki Politics sana kama kigezo ni INDIVIDUAL PERFOMANCE Mwaka 2010 Messi alikuwa na Individual Perfomance kumshinda Iniesta au Sneijder, Mwaka 2012 Messi alikuwa na Individual Perfomance kumshinda Xavi,Mwaka 2013 Ronaldo alikuwa na Individual Perfomance kumshinda Ribery,Mwaka 2014 Ronaldo alikuwa na Individual Perfomance kumshinda Manuel Nuer,Mwisho wa siku kinachofanyika ni mapenzi binafsi na mahaba ya wapiga kura kwa mchezaji fulani basi Hivyo video mnavyotuletea leo ni Porojo tu.Yani mnaoshabikia timu badala ya mpira shida sana.