Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Fabby out 5 week
Official info
Official info
Liverpool game za mwisho mnachechea tu, crystal palec kawatoa udenda napoli kawaingilia vibaya
Sasa naona mnajipangia matokeo kwa hawa wendawazimu sulzburg ambao wanataka kuingia 16 ,
Halland ataua mtu
kavunjika pumbu 1Any updates za faby
Stupidestkavunjika pumbu 1
Wapigwe double pivot kuwapa fursa madogo kucover bigger space katikatiAwaiting major scan on the ankle till then it's prayers that he didn't twist or hurt his ankle or shin...
Plan B is playing Hendo or Gini in his role.. Man we need a bit luck with those two in that position..
In any case Fabby was to miss the Brighton let's see how the gaffer plan to handle this situation we have, after all he must have a plan B in place...Wapigwe double pivot kuwapa fursa madogo kucover bigger space katikati
That will also allow ox or naby kuwa nyuma ya front three
More goals scored.... Trust me, we will have better gd by the time faby comes
Hilo Bonge la Pengo aisee....Fabby out 5 week
Official info




Tukutane fainali... Japo na wewe gemu ya mwisho ukipigwa Europa inakutia...Sisi tumefuvu na tunaenda kubeba.
Huyu Pain Killer utabiri wake wote ni zero zero...Kuna Washabiki wa Mpira na Nyinyi Washabiki wa CHANETA.
Liverpool inachechea game za mwisho
Liverpool 3 - 1 Man City
Chelsea haichechei game za mwisho
Man City 2 - 1 Chelsea
This is how your brain work
Man it's black Friday.... Nwa he is fresh and blood hivyo kuumia its part of the game...Fabby out 5 week
Official info
Lol ni shinda ni pale game are coming thick and fast hivyo hata muda wa proper planning mazoezini haupo...Hilo Bonge la Pengo aisee....
Inabidi Lalana acheze pale maana atleast yeye ana creativity...maana ikiwa middle ya hendo gini na milner inakuwa kama unauambia Mbuyu Utembee![]()
kwa 7bu captain lazima awepo bora wacheze Gini hendo na oxHilo Bonge la Pengo aisee....
Inabidi Lalana acheze pale maana atleast yeye ana creativity...maana ikiwa middle ya hendo gini na milner inakuwa kama unauambia Mbuyu Utembee![]()
Wamejichokea? Kwani Bayern anatoka ligi gani na Salzburg anatokea ligi gani? Kama tunaweza piga bingwa wa ligi inayoeleweka tutashindwa piga bingwa wa ligi sawa na ligi ya south?Wale wazee waliojichokea? tulia ivyo ivyo ivyo game itakuwa ngumu sana...
Hivi mnajisahaulisha au? Munchen alitolewa anfield?Lakini inakua anfield sio ugenini
Klopp give me early Xmas and bring in Gini, Keita Chambo...kwa 7bu captain lazima awepo bora wacheze Gini hendo na ox
Steve G namkubali sanaaaBila shaka mkuu Aoron Arsenal ataanza kuonekana jamvini baada ya Mla kachori kutimuliwa Leo Ganaz ...
Hii kazi apewe Steve G awapaishe
Mkuu Dully Jr Kwa sasa Kwa wachezaji ulionao mchukueni Benitez au Maxi mmoja wao atakuvusha salama...Steve G namkubali sanaaa