Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
HahahahahahahahahWewe kwa Timu yako ilivyo hata si wa kukaa ukajadili mwenendo wa Liverpool.
Enewey sisi kwa Arsenal hatuna cha kujadili coz hayupo kwenye Level za kuweza kujadiliwa na sisi.
HahahahahahahahahWewe kwa Timu yako ilivyo hata si wa kukaa ukajadili mwenendo wa Liverpool.
Enewey sisi kwa Arsenal hatuna cha kujadili coz hayupo kwenye Level za kuweza kujadiliwa na sisi.
Wew kiazi wa ikwiriri usinipangie,Watu wengine bhana!!! Ndiyomana haishangazi kuona kila siku wanajaza Pumba tu hapa wakati hata H2H hajaui kama ipo au haipo kwenye Group stage.
Tulihitaji goli nne ili barca ya messi na Suarez watoke na walitoka sasa hao Salzburg ndio watapona? Timu yetu ni hatari kuliko hicho kigenge mnachokopigia upatu humu
Liverpool ni wataalam wa mechi ngumu, kama munchen alikaa huko huko ujerumani ndio itakuwa hao watoto
Mbona hiyo simple fixture kiongozi! Only RB ndiyo inanipa headache
Bayern kuna timu pale sasa saiv... bayern zama zake zilishapita
Mbna napoli anakutoa jasho mzee....
Nmeanza kuangalia UEFA toka enzi hizo kukiwa na group stage mbili then baada ya hapo mnaingia robo final
GD ninayoizungumzia mimi ni in case kama Salzburg atashinda....
Wala sikubishii.... Ila kaa ukijua huu msimu hakuna game ambayo salzburg wamecheza bila kuscore hata goal moja. So hiyo game yenu itakuwa ni minus sum game...
Wakati tunamfunga Bayern msimu huo nani alikuwa bingwa ujerumani?Bayern kuna timu pale sasa saiv... bayern zama zake zilishapita
Kuwa Bingwa ujerumani ndio nini?Wakati tunamfunga Bayern msimu huo nani alikuwa bingwa ujerumani?
umeangalia interval lakini?Mbona hiyo simple fixture kiongozi! Only RB ndiyo inanipa headache
interval umeiona?Hakuna hatari yoyote hapo,labda uniambie timu gani hapo? Zaidi ya RB.
Kwani nimekwambia ujadili tu?na nani kakwambia mapito ya timu yangu ndio yatayoweza nifunga mdomo nisipitepite humu kutia njaa ikibidi????Wewe kwa Timu yako ilivyo hata si wa kukaa ukajadili mwenendo wa Liverpool.
Enewey sisi kwa Arsenal hatuna cha kujadili coz hayupo kwenye Level za kuweza kujadiliwa na sisi.