Liverpool mnafocus kwa City kuwanyima ubingwa
Kuna huyu mwendawazimu lecister City, ndio baba laoo
Any way ,ngonja tuwaone usiku wa maajabu NAPOLI anakuja kuwamaliza
Mi mwenyewe ananipa hofu sana huyu leicester...Liverpool mnafocus kwa City kuwanyima ubingwa
Kuna huyu mwendawazimu lecister City, ndio baba laoo
Any way ,ngonja tuwaone usiku wa maajabu NAPOLI anakuja kuwamaliza
Endapo hawa mbwa mwitu hawatapata majereha basi jamaa ni tishio zaidi ya Citi Kwa sasa maana kuanzia nyuma mpaka mbele wamekamilika...Liverpool mnafocus kwa City kuwanyima ubingwa
Kuna huyu mwendawazimu lecister City, ndio baba laoo
Any way ,ngonja tuwaone usiku wa maajabu NAPOLI anakuja kuwamaliza
+VAR BABALAOHii timu imeshikwa na hawa wachezaji wanne tu ..wakipoteana wawili tu apo amna timu..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Mkuu Napoli sio timu ya kubeza,[emoji3][emoji3] yaani kila ukisema Liver anamalizwa yeye ndo anamaliza, au ndo namna yako yakuiombea ushindi Liverpool?
Mkuu Napoli sio timu ya kubeza,
Hii game ukiangalia kwa undan zaid hata game za mwisho wanazochezaga napoli na liverpool wanashindaga kwa aggregate ndogo sana ya magor so hapa lolote laweza tokea,
Liverpool ananafasi kubwa ya kushinda kigezo yupo nyumban, vile vile napoli uwezo wa kushinda upo tena mkubwa tu
90min zitaamua

kwa mara ya kwanza najawa na wasiwasi wa mechi ya home msimu huu.
Haka kaupepo kanipitie mbali.
must win match.
Mkuu Napoli sio timu ya kubeza,
Hii game ukiangalia kwa undan zaid hata game za mwisho wanazochezaga napoli na liverpool wanashindaga kwa aggregate ndogo sana ya magor so hapa lolote laweza tokea,
Liverpool ananafasi kubwa ya kushinda kigezo yupo nyumban, vile vile napoli uwezo wa kushinda upo tena mkubwa tu
90min zitaamua
Sure.Mkuu napoli ugenini hawako vizuri,wakiwa nyumbani ndio tumewashindwa.
Klopp ni mtu wakujifunza sana ,leo tutawabadilikia watashaa maana goli hazitakuwa chini ya mbili.
If we dont beat this fatigued & un-motivated City team to the TITLE this season, Then, God will never give us another clear opportunity ya kushinda hii TITLE.
Kwakuwa mnacheza na Napoli ndio mnaleta visingizio kuwa mnaitaka PL kuliko CL kwasababu mnajua hawa muda wowote wanaweza leta msiba....Sure.
yule capten wao L.Insigne hayupo ila J. Callejon amerudi. Ndiye ametengeneza nafasi nyingi kwenye uefa kuliko yeyote.
Itategemea atakavyoanza kwenye mid leo",.
Faby ox gini wanaweza kuanza hendo akaingia baadae naona klopp akihitaji epl kuliko cl.
fununu huenda gomez akaanza kwa lovren millie upande robbo.
Tusubir tuone.