Kwahiyo kwa mfano liverpool atacheza na hizo timu zote ili kuchukua ucl????
Hapo anaweza kukutana na timu 1 au 2 tu na mechi nyingine akakutana na vilaza kama Genk,
Jamaa kauliza swali umejijaza kama mlevi,sasa kama bora kukutana na Genk kuliko wolvers kwanini unadai UCL ni ngumu kuliko EPL na kila mwaka vilaza lazima wawepo huko UCL????
tatizo lenu hapa hampo kiuhalisia bali mahaba....
Kama unaon gere usisogee pand ze2Hii VAR msimu uliopita ilikuwa upande wa Spurs sana ..msimu huu naona inaenda upande wenu tu ..hongereni kwakweli..
Huyu ndo Kante Ngolo..
Kila la kheri Chelsea![]()
Aoron Arsenal alishasema Kwa huyu kajumbai hamna kitu na sasa naanza kuamini maneno yake...Mc cane kwa mbali naanza kuamini sasa maneno yako Manchester United itamaliza ligi juu ya Arsenal
Aoron Arsenal alishasema Kwa huyu kajumbai hamna kitu na sasa naanza kuamini maneno yake...
Liver kila mechi var ziko upande wao. Haijalishi kwenye kuwapa uwezo wa kufunga au kuwanyima wapinzani wasifunge eidha kukataa goli lao au kuwanyima penati.
Huyu muhindi wa kusini UNAI amemfanya jamaa akimbie JF.Hivi huyu mwamba wa aseno , Aron yuko wapi siku hizi
Aoron Arsenal yupo ila kwa matokeo wanayo pata amejipiga ban Kwa muda maana kila mechi kwao ni maumivu...Hivi huyu mwamba wa aseno , Aron yuko wapi siku hizi
Aoron Arsenal yupo ila kwa matokeo wanayo pata amejipiga ban Kwa muda maana kila mechi kwao ni maumivu...
Jana Unei kazomewa na mashabiki wa the Ganaz ni ishara siku zake pale zinahesabika endapo mechi ijayo wataendelea kusua sua..
Malkia sio shabiki wa majogoo..Liver kila mechi var ziko upande wao. Haijalishi kwenye kuwapa uwezo wa kufunga au kuwanyima wapinzani wasifunge eidha kukataa goli lao au kuwanyima penati.
Maagizo ya malkia hayo.
Sawa.Malkia sio shabiki wa majogoo..
Hii VAR ni msumeno ndugu Kwa sasa upepo Wa ushindi upo kwetu hivyo wapinzani watasema mengi..
Hasa zile dakika ishirini za kwanzaIla Chelsea timu isiyo kuwa na malengo kabisa, jana nimegundua huwa inashinda kwa kubahatisha tu, ile game ya jana ilikuwa upande wao kabisa ila utoto mwingi uliachia points kwa city
Liver kila mechi var ziko upande wao. Haijalishi kwenye kuwapa uwezo wa kufunga au kuwanyima wapinzani wasifunge eidha kukataa goli lao au kuwanyima penati.
Maagizo ya malkia hayo.
Hasa zile dakika ishirini za kwanza
Vile vitoto vijinga sana