Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye maisha yangu ya kuishabikia Liverpool, hakujawahi kuwepo kipindi cha furaha kuzidi hiki.

Jana niliangalia game na washabiki kadhaa wa Man United, goli lilivyorudi wakazomea sana. Halafu mimi nikawaambia siyo mara moja wala mbili tumeshinda game dakika kama hizi. Hivyo hata hii tutashinda.

Na tukashinda kweli. I wish watu wote wangejua utamu wa kuishabikia Liverpool wakajiunga.
 
IMG_6685.JPG
 
Sawa.
Na VAR zìko upande wenu tu dhidi ya mnaocheza nao.
Ndio mtazamo Wa washindani wetu.. Baada ya kushindwa kutushusha kileleni sasa wamehamia kwenye VAR...

Wiki iliyopita kulikua na kikao cha makocha, marefa na wasimamizi Wa VAR EPL na baada ya kufanya tathmini mpaka mechi za 10/11/19 kuhusu hio VAR hakuna hata mechi moja ya Liverpool iliyotajwa kupendelewa na VAR..

YNWA
 
Hahahahhah, kwa hali ile kweli lazima ujipige ban
Naona Ganaz watakua wanatafuta mridhi Wa Unai kimya kimya kama wahasimu wao Spurs,

Baada ya mechi ya jana wanadai bado wana imani nae kuwapeleka mbele..

Hawa wenye timu hua ni wanjanja mno hata Poch aliaminishwa na Levy kwamba hataodoka lakini mwishowe tukaona akipewa mikoba Jose...

Muda utasema..
 
Kwingineko Under 23 they have shown us the way to beat Albion snrs come next game...
Curtis Jones struck twice for Liverpool as they won 5-3 at Brighton & Hove Albion in Premier League 2 Division 1.

Harvey Elliot and Luis Longstaff also scored, while Isaac Christie-Davies got a goal and an assist to move Liverpool a point above their hosts up to fifth.
 
Kwenye maisha yangu ya kuishabikia Liverpool, hakujawahi kuwepo kipindi cha furaha kuzidi hiki.

Jana niliangalia game na washabiki kadhaa wa Man United, goli lilivyorudi wakazomea sana. Halafu mimi nikawaambia siyo mara moja wala mbili tumeshinda game dakika kama hizi. Hivyo hata hii tutashinda.

Na tukashinda kweli. I wish watu wote wangejua utamu wa kuishabikia Liverpool wakajiunga.
Hahaha hakika hao mashabiki wa Manu walinywea Sana baada ya Bobby kufunga la mbili..

Klopp kashawaambia the boys wao wacheze mpira wao wawe wavumilivu nafasi za kufunga zitapatikana tu hata dakika za majeruhi..

Jana Bobby alijua fika kwenye ile kona mpira utazama hilo linahitaji utulivu Sana kufunga goli kati ya msitu Wa wachezaji wale..

Ni raha tuuu kua upande wa Majogoo na pazuri ni pale home and away EPL we are rocking...
 
Niliwauliza swali, kwamba ni mara ngapi Liverpool kapata goli dakika kama hizi akilihitaji?

Na kama ni mara nyingi, leo ina tofauti gani?

Ndani ya dakika moja tukapata kona, then goli. Watu kimyaaa.
 
Niliwauliza swali, kwamba ni mara ngapi Liverpool kapata goli dakika kama hizi akilihitaji?

Na kama ni mara nyingi, leo ina tofauti gani?

Ndani ya dakika moja tukapata kona, then goli. Watu kimyaaa.
Kama ni mashabiki wa Manu tangu enzi wanaelewa pia Fergie alikua hakati tamaa mpaka dakika ya mwisho hivyo Kwa huu mpira Wa Liverpool sasa wana kila sababu ya kununa maana ni ishara ya timu au wachezaji walio komaa na kujielewa zaidi na wenye uchu na Kombe la EPL..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom