

Hongera sana LIVERPOOL MBELEKO FC kwa kubebwa kwa kukataliwa goli la wazi kabisa![]()
👍🏼Sikuwa na wasiwasi na hii game
Hahahaha wote majanga...City apigwe tu! Ingawa wa darajani nao siwaamini sana!
Liverpool kama CCM sasa hivi, tume ya uchaguzi tunayo mkononi.












😌😌😌😌😌😌😌😌If today's victory didn't get you an orgasm I don't know what will....meanwhile let hunger and famine strike the citizen....YNWA!
Wacha waumizane mkuu sisi tumeshatembea! Inapendeza sana tunaposhinda away games!Hahahaha wote majanga...
Leo Pep akipigwa itapendeza zaidi..
Les Blues Leo wanataka kuonyesha nao ni title contenders
Haswa tena Kwa hawa wakata umeme...Wacha waumizane mkuu sisi tumeshatembea! Inapendeza sana tunaposhinda away games!



Huyu ndo Kante Ngolo..
Kila la kheri Chelsea![]()
Huyu ndo Kante Ngolo..
Kila la kheri Chelsea![]()
Ubawooo?????Huyu ndo Kante Ngolo..
Kila la kheri Chelsea![]()