Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu hiyo nahis anataka afanye kama difencing mechanism kwa sababu anajua kwenye mfumo wa mo hawez fit maana anampira wa wiz wiz tu kama lingard thus y kaanza kujishuku
Hahaha Dele yupo vizuri sijajua ni upepo upi uliwapitia pale Spurs mpaka kujikuta walipo EPL....
 
IMG_6671.JPG
 
Morinho aliwahi jaribu kumweka Ronaldo bench kwa kipindi fulani lakini alishindwa kwa sababu Ronaldo alikua anabalaa

Morinho hataki mtu wa kumpinga, kwa Cr7 alichemka mwenyewe akaamua kumrudisha

but issue ingine ni uportuguese pia unachangia, hawezi mfanyia kauzibe mtu anaeibeeba nchi yao
Wakati Mou yuko Chelsea na Ronaldo yuko Man United waliwahi kupondana kila mmoja kwa muda wake.

Ila walivyokutana RMD walifanya kazi maisha yakasonga.
 
Morinho aliwahi jaribu kumweka Ronaldo bench kwa kipindi fulani lakini alishindwa kwa sababu Ronaldo alikua anabalaa

Morinho hataki mtu wa kumpinga, kwa Cr7 alichemka mwenyewe akaamua kumrudisha

but issue ingine ni uportuguese pia unachangia, hawezi mfanyia kauzibe mtu anaeibeeba nchi yao

That was my point, kwamba kama wewe ni bora there is no way ukawekwa benchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom