Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Huo mshahara Wa Klopp sio sawa huo ni wa 2016 alivyoajiriwa Anfield so baada ya contract extention walimuongeza mpunga japo hawakuweka wazi..Ndo maana anataka asepe
Ata mane anapewa kamahahara kadogo kulingana na uwezo wake, though hapo kwa mane kuna excuse, ila si kwa Klop
Ukiweka adds on na bonuses Kwa contract ya zamani Klopp alikua anapata zaidi £15m...


