M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
ili mtu ubebeke lazima kwanza uwe "bebwable"!Hongera sana LIVERPOOL MBELEKO FC kwa kubebwa kwa kukataliwa goli la wazi kabisa![]()
ili mtu ubebeke lazima kwanza uwe "bebwable"!Hongera sana LIVERPOOL MBELEKO FC kwa kubebwa kwa kukataliwa goli la wazi kabisa![]()
Liverpool kama CCM sasa hivi, tume ya uchaguzi tunayo mkononi.
ili mtu ubebeke lazima kwanza uwe "bebwable"!
Sometimes. Ni aibu sanaUzuri wako Don kwenye ukweli huwa unasimama pekeyako bila kukwepesha kabisa![]()
Kipindi cha kwanza tumeplay tukiwa very poor
2nd Half tunatakiwa tucheze mchezo wa anayetafuta ubingwa
Hongera sana LIVERPOOL MBELEKO FC kwa kubebwa kwa kukataliwa goli la wazi kabisa![]()
Uzuri wako Don kwenye ukweli huwa unasimama pekeyako bila kukwepesha kabisa![]()
Bobby kakosaje hapa?