Hapa wanao piga kura ni Ma Captain Wa timu za Taifa, Makocha Wa Timu za Taifa na wandishi Wa habari za mchezo Wa kimataifa..
Aidha Salah au Mane ama VVD wana deserve kushinda hii tuzo..hopefully any of the three atapata kura za kutosha kupata hii tuzo yenye heshima..
Kipa bora natarajia kumuona Allison achukue tuzo yake..
How the winner is decided
The winners of the Ballon d'Or are chosen by international journalists and the coaches and captains of the national teams under FIFA's jurisdiction In a system based on positional voting, each voter is allotted three votes, worth five points, three points and one point, and the three finalists are ordered based on total number of points. Voters are provided with a shortlist of 23 players from which they could select the three players they deem to have performed the best in the previous calendar year.
Yah!!! I think Milner.Kuna taarifa kuwa TAA hatasafiri kwenda Belgium kukipiga dhidi ya Genk. Kwa mujibu james Pearce TAA ni mgonjwa. Alishindwa kufanya mazoezi na wenzie.
Natarajia nafasi yake kuchukuliwa na Milner au Gomez.
Baada ya VVD kupata tuzo ya mchezaji bora wa Uefa msimu uliopita naamini miaka si mingi EPL itatoa mchezaji bora wa dunia...Ikiwa salah atapata hii tunzo watu wengi naisi watakuja juu nakusema hakustahili
Baada ya hawa Genk ku draw na Naples hii gemu kwetu si powa Sana...Kuna taarifa kuwa TAA hatasafiri kwenda Belgium kukipiga dhidi ya Genk. Kwa mujibu james Pearce TAA ni mgonjwa. Alishindwa kufanya mazoezi na wenzie.
Natarajia nafasi yake kuchukuliwa na Milner au Gomez.
Fabby our sweeper, Mr keep order.. I guess this workaholic bald baddest boy has that okay from Klopp to take one for the team if the occasion lead to us conceding...
Baada ya kupata ushindi Kwa taabu sana vs Blades ndipo nikaona we ain't invisibles one way or the other tutakuja kamatika na hii ya OT ni mwanzo...Kuna mechi hizi lazima tuandike maumivu hasa kwa viungo type ya Klopp.
Everton hapa kuna hati hati ya Kula draw ndan na nje endapo klopp ataendelea kuweka wakina Hendo Gini Milner
Man city, hata huyu tunaweza poteza points 3 kabisa kwa viungo butu vya klopp.
Hii tuzo ya Sadio Mane au Alison Becker.
Trent anaumwa nini jamaniBaada ya hawa Genk ku draw na Naples hii gemu kwetu si powa Sana...
Pale kati ningependa kuona Keita/Chambo/Fabby wakianza...
May TAA get better...
Mule mule mkuuKuna mechi hizi lazima tuandike maumivu hasa kwa viungo type ya Klopp.
Everton hapa kuna hati hati ya Kula draw ndan na nje endapo klopp ataendelea kuweka wakina Hendo Gini Milner
Man city, hata huyu tunaweza poteza points 3 kabisa kwa viungo butu vya klopp.
Trent hawajafafanua wanasema tu ni 'illness' na Matip wanasema ni goti.. Hivyo Leo Gomez na Lovren wanaanzaTrent anaumwa nini jamani
Daaah
Mnaanza kulia lia mapema vijna,Trent anaumwa nini jamani
Daaah
Kocha anadai anapenda kufanya kazi na kikosi kindogo..Mnaanza kulia lia mapema vijna,
Siku mkisikia mane out 3weeks mtazimia
Hii ndio maana ya kikosi kipana
Hakuna mchezaji anayeweza kucheza game zote 34epl, FA, uefa na calabao
Anzeni kutafuta mbadala wa hao vyuma mapema b4 january