Porojo3-1 za kubebwa na var
Liverpool mna laana tu, mnatembelea var kupata ushindi ,hamuwez kuwin title kizembe hivo, saizi mnavimba tu na vi match 12 out of 34 ,tulishawazoea sana kuongoza league
Gori la salah offside var ikazima
Gori la kwanza, handball ila var ikazimwa
Harafu mnavimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
If it was nothing to discuss why did u qouted [emoji67] with those offensive words? Mjuba dont u see ur revealing urself who u're?Wananijua Sana tu... Sihitaji msamaha
Post ya juu was a respective counter kwa mhusika
Second one same... The photo was useless, it has nothing to discuss... Quite a waste
Ukitaka tujadili soka, tunaweza tu
Nikupe kazi kidogo.... Pitia post zangu 12 tu kwenye hili jukwaa la LFC halafu uziquote zote.... Zitakupa good Sunday
Ujue raha ya ushabiki Ni Hadi kuona very senior admins wanatoa povu kwa namna LFC inavyopeta
Wamefikia waqti wamevua neutrality na kuanza kujibu banters za wanaLFC
KWELI TUMETOKA MBALI
I wish ningeumiaIf it was nothing to discuss why did u qouted [emoji67] with those offensive words? Mjuba dont u see ur revealing urself who u're?
Unaumia nini kamw haijakugusa. Narudia tena dont take it personal.
And var has proved with stats that we haven't gained anything from it.... With or without it, we would have 34 pointsPorojo
Ohh Klopp hawezi shinda final
Kashinda mbili
Sasa wavimba macho mnakimbilia kwenye VAR
Tumepiga Mungu mtu wenu wa soka 3
Hadi January gap itakua points 15+
Klopp hafanyi kosa mara mbili
Duh hatari sana😀😀Ndiyo maana yake.
Hii ni post yake 2014 akiwa mshabiki wa Arsenal.
Na hii chini ni thread yake akiwa mshabiki wa Leicester City.
Leicester City (The Foxes) | Special Thread
Leicester City Football Club is an English professional football club based in Leicester in the East Midlands. The club competes in the Premier League, England's top division of football, and plays its home games at the King Power Stadium.[2] Leicester City Full name Leicester City Football...www.jamiiforums.com
Na hii hapa ni post yake August 2015 akiwa mshabiki wa Chelsea.
NB: Nahisi jamaa anahama kutegemea na boyfriend aliyenaye kipindi hiko anashabikia timu gani. Akiachwa akapata mwingine anahama timu.
Huyu ni me wakuu sio ke(joke)the problem of liverpool fans is that,... you like hearing good things in your ears,you don't accept any challenge at all,
if someone challenges you then you will come up with a personal attack and this disease exists on all platforms except THE FOXES maana nimeyashuhudia kule Ase8,nyumbu na cheltako ....
MUBADILIKE AISEEEH
Mnashindwa kwenye arguements mnakimbilia katika ubaguzi wa kijinsia,sasa hata kama niwe wa kike siruhusiwi kuzungumzia soka????Huyu ni me wakuu sio ke(joke)
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Liverpool analidharau kombe la epl ndiyo maana hajalibeba kwakipindi Cha miaka26?Kuna wanaosema UCL ni ligi rahisi ndiyomana Liverpool anabeba, Lakini EPL ni Ligi ngumu ndiyomana Liverpool haibebi.
SWALI:
Sasa kama UCL ni ligi nyepesi kwanini wengine wasichuke? Au hawa kina Man City na wengine hawalitaki hili kombe?
Kwanini tusikubali tu kuwa Makombe yote (EPL & CL) ni magumu?
Hawa wamevurugwa na point za kubebwa na var,Mnashindwa kwenye arguements mnakimbilia katika ubaguzi wa kijinsia,sasa hata kama niwe wa kike siruhusiwi kuzungumzia soka????
Hebu onesha mahali walipoandika kuwa hapa ni special for men only.....
Muwage na akili nyie viumbe mbona hamjielewi????
29 mkuu sio 26....hawa kwa kifupi kitu kinachoitwa EPL hawajawahi kubeba,sisi THE FOXES tupo juu zaid yaoKwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Liverpool analidharau kombe la epl ndiyo maana hajalibeba kwakipindi Cha miaka26?
The problem umeshajisahau. Siyo wewe uliyekuwa unapiga umbea na ndugu zako wa Arsenal kwenye jukwaa la Chelsea? Halafu angalia utumbo ulio andika hapo.hili jukwaa linazidi kujaa watu kutoka kila kona kama chelwowo nyumbu mancity arsenane na kunakituko cha fox kimeingia eti(maisha yapo kasi kweli) ok me nafurahi binafsi maana kama mtu kwenye pitch kashindwa kupambana means maneno ndo kitu kilichobaki kwake na kauli za kinyonge. Nadhani ni muda wa washabiki wa LFC katika huu uzi kujivunia kwani wapinzani wakiwa wengi sana jua kua unawatesa,unawasulubu,unawaumiza .
Tujiulize mbona kipind tuko na kina CAROLL, SHELVER, BELLAM na wengineo tulikua hatusumbuliwi kias hiki lkn hiki kipind tuko na kina FAB, MANE, SALAH, BOBBY watu wanaumia tu bila sababu???? Hahaha bila kupapasapapasa utagundua kwel LIVERPOOL imekuja kufanya mapinduzi europian , na hiki ndo kinachowakosesha watu furaha yaan hawataki kuamin ile LIVERPOOL imerudi , na hik ndo kinawafanya watu washinde wanakejeli kwenye hii thread mitandaoni .
that's the way you use to avoid the challenge ?????? Kwa kutaka opponents wasiattend kwa hii platform yenu hahahahahahahahahaha kwa hili mumefeli totally labda muombe mods walipeleke kule JLW huko mtakuwa na na amani mana wengi watakosa access ya kuattend lakini hapa tutawanyoosha kuku nyie....hili jukwaa linazidi kujaa watu kutoka kila kona kama chelwowo nyumbu mancity arsenane na kunakituko cha fox kimeingia eti(maisha yapo kasi kweli) ok me nafurahi binafsi maana kama mtu kwenye pitch kashindwa kupambana means maneno ndo kitu kilichobaki kwake na kauli za kinyonge. Nadhani ni muda wa washabiki wa LFC katika huu uzi kujivunia kwani wapinzani wakiwa wengi sana jua kua unawatesa,unawasulubu,unawaumiza .
Tujiulize mbona kipind tuko na kina CAROLL, SHELVER, BELLAM na wengineo tulikua hatusumbuliwi kias hiki lkn hiki kipind tuko na kina FAB, MANE, SALAH, BOBBY watu wanaumia tu bila sababu???? Hahaha bila kupapasapapasa utagundua kwel LIVERPOOL imekuja kufanya mapinduzi europian , na hiki ndo kinachowakosesha watu furaha yaan hawataki kuamin ile LIVERPOOL imerudi , na hik ndo kinawafanya watu washinde wanakejeli kwenye hii thread mitandaoni .
Wengi hamtaamini ila mechi ijayo Liverpool anafumuliwa kwa mara ya kwanza msimu huu .
the problem of liverpool fans is that,... you like hearing good things in your ears,you don't accept any challenge at all,
if someone challenges you then you will come up with a personal attack and this disease exists on all platforms except THE FOXES maana nimeyashuhudia kule Ase8,nyumbu na cheltako ....
MUBADILIKE AISEEEH
Wapi waliposema shabiki haruhusiwi kuhama?ukileta hicho kifungu najipiga lifeban,Tatizo lako wewe ni Plastic Fans
Umehama Arsenal
Umehamia Leicester City
Next sijui itakuwa wapi!
Yani wewe ni mshabiki hamahama
Mkifail ktk arguements kimbilio lenu ni personal attack,Happy wote ni KE