Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijawahi kuiona kabisa, na je huwa inatumika vp? Refa huwa anaenda kuona marudio ya tukio?
VAR ya uingereza wanaingalia wote hadi mashabiki huku refa akipewa maelezo ya ziada na waliokuwa vyumbani, tena hao wanaompa maelezo wako mbali sana saa nyingine wanatofautiana mikoa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kabisa
 
Huo utalatibu utautumia wewe ukweni kwa wakwe zako tu wala sivingenevyo! over;
 
Duuu, hahahahhahah, hapa umeongeza chumvi, eti mbali wanatofautiana mikoa [emoji3][emoji3]
VAR ya uingereza wanaingalia wote hadi mashabiki huku refa akipewa maelezo ya ziada na waliokuwa vyumbani, tena hao wanaompa maelezo wako mbali sana saa nyingine wanatofautiana mikoa
 
Duuu, hahahahhahah, hapa umeongeza chumvi, eti mbali wanatofautiana mikoa [emoji3][emoji3]
Mzee fatilia utajua, wale wa VAR wapo mkoa mmoja tu na mativii yao wakifatilia mechi sasa jiulize EPL inachezwa mkoa mmoja tu?
 
Hii liverpool inayoandaliwa ubigwa ndio niwaite bingwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kusema kwel sijaona kikos liverpool cha kuchukua epl, naona var imeletwa kwa sababu yenu kutoa gundu la miaka 29 without title
 
Okey, basi nilijua kila mechi wanashiriki uwanjani
Mzee fatilia utajua, wale wa VAR wapo mkoa mmoja tu na mativii yao wakifatilia mechi sasa jiulize EPL inachezwa mkoa mmoja tu?
 
Hii liverpool inayoandaliwa ubigwa ndio niwaite bingwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kusema kwel sijaona kikos liverpool cha kuchukua epl, naona var imeletwa kwa sababu yenu kutoa gundu la miaka 29 without title
Yani wewe jamaa sijui kwanini huwa unateseka kiasi hiki? Kwan jamaa amesema kuhusu EPL au ameongelea Klabu bingwa ulaya (UCL)? Au nayo unabisha kwamba sisi sio klabu bingwa ulaya? [emoji23] [emoji23] asee pole sana mzee.

Alafu kama wewe usipotuita bingwa inabadili nini mzee baba? Itapunguza kombe au halitaandikwa kwamba limebebwa na Liver? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu liverpool kuchukua ucl sio tatizo,

Mziki upo epl, ndio league ya wanaume ndio maana miaka 29 mnahaha bila kupata, wakat ucl hata chealse mwaka huu anaweza kuchukua

Mziki mnene epl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sorry mim siwez kusifia ujinga, lazima niwambie tu ,hakuna namna nyingine najua mtafuta comment zangu

Mkuu samahan sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna point wewe kila post yako unaandika utumbo mtupu. Kukaa kimya nayo ni bora zaidi
 
Mkuu liverpool kuchukua ucl sio tatizo,

Mziki upo epl, ndio league ya wanaume ndio maana miaka 29 mnahaha bila kupata, wakat ucl hata chealse mwaka huu anaweza kuchukua

Mziki mnene epl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo man city kashindwa nini mzee huko ucl? Chelsea unayoijua wewe imechukua mara moja tu, epl wamebeba mara ngapi?
 
Kuna wanaosema UCL ni ligi rahisi ndiyomana Liverpool anabeba, Lakini EPL ni Ligi ngumu ndiyomana Liverpool haibebi.

SWALI:

Sasa kama UCL ni ligi nyepesi kwanini wengine wasichuke? Au hawa kina Man City na wengine hawalitaki hili kombe?

Kwanini tusikubali tu kuwa Makombe yote (EPL & CL) ni magumu?
 
EPL ni ngumu kwa sababu kuna mechi nyingi sana ili uje kuwa bingwa ....mechi 38....

UCL ni simple kuliko EPL sababu kuna game chache sana mpaka uwe bingwa, bahati ikikalia upande wako tu basi...mechi 13

Makundi 6
16 bora 2
Robo 2
Nusu 2
Fainali 1
 
Huyo man city kashindwa nini mzee huko ucl? Chelsea unayoijua wewe imechukua mara moja tu, epl wamebeba mara ngapi?
Muda mwingine bahati nayo inahusika ...maana man city mbona walikuwa vizuri tu kwa ubora na ukubwa wa kikosi kuliko liverpool katika misimu miwili iliyopita????

Wewe unafikiri liver hawakuwa na kikosi cha kubeba EPL toka enzi za kina SG???au walikuwa hawalitaki?????au hakikuwa kipaumbele chao???? Nakumbuka kuna kipindi walizidiwa point 1 tu......

unafikiri nini kiliwakwamisha????amini hawakuwa na bahati nalo,bahati yao ilikuwa upande mwingine wa shilingi,
 
Hizo screen kubwa za uwanjani hazipo Anfield na Old Trafford tu ndio hawajaweka..

Hizi screen kubwa EPL zililetwa kutuliza amsha amsha ya mashabiki pindi marefa Wa VAR wanapotazama tukio husika...

Hivyo Kwa VAR wakati wa mechi EPL ndani ya Anfield na Old Trafford refa hisikiliza tu maelezo..
 
EPL ni ngumu kwa sababu kuna mechi nyingi sana ili uje kuwa bingwa ....mechi 38....

UCL ni simple kuliko EPL sababu kuna game chache sana mpaka uwe bingwa, bahati ikikalia upande wako tu basi...mechi 13

Makundi 6
16 bora 2
Robo 2
Nusu 2
Fainali 1
[emoji23][emoji23][emoji23] haya maisha bhana shabiki wa arsenal nae anadiriki kusema UCL n rahisi[emoji28][emoji28]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…