Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa waliona hawawezekaniki ikabidi memo itembee zikatolewa kadi nyekundu kama maji na penati juu,ndio wanapumua ila walishafanyiwa kitu mbaya hapohapo uwani kwao.
Hayo maneno wanaongeaga wanawake wambeya wasiokuwa na waume,mtoto wakiume unaanzaje kuongea hayo mambo,ulitaka watu wafanye makosa ya wazi tena makusudi alafu waachwe tu wasiadhibiwe na refa!,sasa huonimpira au ningoma za kizaramo?
 
Thanks vijana wameweza sasa kuchukua uongozi wa UCL
Napoli anakaa bila wasi wasi wowote Anfield
Sasa Klopp anatayarisha vijana kwa game kubwa ya Jumapili

WILJ . FABIHNO . OX

Nasali Klopp apange kiungo hiki Jumapili
 
Dah! kwahiyo aachane na Henderson sio? Le Captain? Hapa nakuunga mkono 100%, hata King Ngwaba atakubaliana na wewe.
Thanks vijana wameweza sasa kuchukua uongozi wa UCL
Napoli anakaa bila wasi wasi wowote Anfield
Sasa Klopp anatayarisha vijana kwa game kubwa ya Jumapili

WILJ . FABIHNO . OX

Nasali Klopp apange kiungo hiki Jumapili
 
Hayo maneno wanaongeaga wanawake wambeya wasiokuwa na waume,mtoto wakiume unaanzaje kuongea hayo mambo,ulitaka watu wafanye makosa ya wazi tena makusudi alafu waachwe tu wasiadhibiwe na refa!,sasa huonimpira au ningoma za kizaramo?
Hahaha Duly Jr anajua kabisa kilichotokea ni khalali na hamna upendeleo pale ..Sema ndo ivyo hana cha kufanya bwana Duly eeeeeeeh This is Chelsea
 
Kepa kafungwo 4 na Ali kafungwo 1 huku tukichukua point 3 na nyie pointi moja tu..

Kundi lenu timu 3 zote zina pointi 7 sasa ndugu mkichapwa gemu moja tu itakua mlishiriki na bye bye...

UCL sio Carabao
Sasa huoni kama tuko kundi gumu zaid kuliko nyie ...jana mko home mnakaziwa na akina Samata mnapata ushindi wa kusua sua ..mkikutana na Ajax itakuwaje ...kwake utashinda ...Apo Anfield lazima uwanja uiname ...

Asante Samata
 
Ajax ni kawaisa alifanya ivyo kwa Juve, Madirid ..unashinda kwake unashinda kwako tena nyingi tu ...

Zile reds usiseme walionewa.. Mtu kadaka makusudi kaonewa?kacheza rafu uko na ana njano kaonewa?
Jitahidi kuwa na maneno ya akiba

Hafu we ushakua sa hivi sio mtoto tena

PungUza mambo ya kitoto chief
 
Thanks vijana wameweza sasa kuchukua uongozi wa UCL
Napoli anakaa bila wasi wasi wowote Anfield
Sasa Klopp anatayarisha vijana kwa game kubwa ya Jumapili

WILJ . FABIHNO . OX

Nasali Klopp apange kiungo hiki Jumapili
mkuu imekuwaje hadi wewe unamkana nahodha wetu mpendwa jordan henderson kwenye mechi muhimu ya jumapili
 
Sasa huoni kama tuko kundi gumu zaid kuliko nyie ...jana mko home mnakaziwa na akina Samata mnapata ushindi wa kusua sua ..mkikutana na Ajax itakuwaje ...kwake utashinda ...Apo Anfield lazima uwanja uiname ...

Asante Samata
Mkuu Chugga swala sisi kufungwo ni kawaida kwani ni moja ya matokeo ya mpira..

Sisi fainili ndio target kaka hivyo tunajikongoja taratibu...
 
Thanks vijana wameweza sasa kuchukua uongozi wa UCL
Napoli anakaa bila wasi wasi wowote Anfield
Sasa Klopp anatayarisha vijana kwa game kubwa ya Jumapili

WILJ . FABIHNO . OX

Nasali Klopp apange kiungo hiki Jumapili
Duh Chief vipi tena unamkataa Hendo...

Hapa tupo pamoja..

Japo Hendo kutocheza jana ni ishara jumapili yupo ndani 1st 11..
 
Sasa huoni kama tuko kundi gumu zaid kuliko nyie ...jana mko home mnakaziwa na akina Samata mnapata ushindi wa kusua sua ..mkikutana na Ajax itakuwaje ...kwake utashinda ...Apo Anfield lazima uwanja uiname ...

Asante Samata
Stamford bridge umekazwa 2 na hao hao waliokaziwa na akina Samata
 
Back at home UCL cool 3 points huku sasa tunaongoza kundi Kwa vile Naples katoa draw na Salzbag...

It's wasn't one of the greatest night of UCL probably due to Citi game in mind the boys had to control the tempo...

But who cares 3 points counted and settled on top of the group..

Next stop is Manciiti at home bring them..

YNWA

Night Kops
And am repeating again bring them all
 
Tukipita kwenye Makundi naona ni PSG pekee ndiyo inayoweza kutusumbua lakini waliobaki sioni wa kutuzuia.

Kwa Barcelona hii ya sasahivi bora hata ya last season ilijishika kidogo

Na mpaka sasahivi sijaona contender wa kujakugombania Ballon D'or na Mchezaji bora wa FIFA kwani Neymar, Mbapee, Messi na Ronaldo mpaka sasa hawapo kwenye ubora wao na Hazard ameshachemka, While VVD naye lililomsibu analijua mwenyewe.

Ni wazi kuwa tukibeba CL basi Mane atapita bila ya kupingwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom