Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Haha ha haaa wale wenzetu wa Kloop anajua zaidi wanaona?
Chamba kapangwa mechi tatu goli tatu hendo mechi kumi goli moja asisit ziro wanasema anajukumu lake ha ha haaaUnakosa uhondo mkuu. Zile backpass zake leo anawapa Aston Villa
