Yan we unaona kocha anampa nafasi Mara kwa Mara tujiulize mi nawewe inamaana kocha Hendo ni shemej yake mpaka amkubali hivyo!?...unauliza majukumu anayopewa yani mi nikwambie kocha kamwambia Hendo awe anasaidia kukaba wakati TAA akipanda wakati unaona !,unataka nikwambie Hendo kapewa jukumu la kutafuta mpra Kati isimilikiwe na adui!?...unataka nikwambie Hendo awe anatizama angle zote apatapo mpira ajue pa kuupeleka !? Unataka stats za kupiga pass ngap kama jorginho !?...unataka afunge goli ngap kama Pogba!? unataka anyimane na firmino ama backlines zinazopanda mipira awe anapeleka mbele moja kwa moja kwa Salah au mane hata Kama nafasi ya kufanya hivyo haipo!?Hata sijakuelewa umeandika Nini mkuu maan kila kipengele umelamba na kuacha so nijibu hoja ipi hapo ,uwezo was hendo kukaba??role anayopewa hendo?? Mim kujikuta najua mpira??(ingawa sijasema mim najua) au mim kutoa mawazo yangu siruhusiwi hapa
Afu watu mnaomtetea hendo muwe mnaleta stats bas sio kulia lia tu
Mtu hafungi(kufunga ni mara1 per season),hatoi assist,haintercept,hapigi tackle, Sasa kumbe kazi yake ipi uwanjani as a CM
Safi Sana nakubali mtazamo wako japo ukisema scholes ndo alikuwa anainyanyua man u begani hapana maana hakuwa na maajabu Msimu aliporudi sio kuassist wala kufungu still alikuwa kawaida sana ..Mkuu ilikuwaje man utd 2012 Babu scholes alivyostaafu na miezi 6 timu inafanya vibaya na man city akaenda hadi kileleni ila alivyorudi babu kutoka kustaafu na timu ikakaa vizuri?
Kwa midfield ya man u toka aondoke roy keane ni nani alikuwa anambeba scholes pale kati?
Vipi hawa kina zidane, xavi, na malegend wengine ambao wamekiri scholes ndio midfield kali waliyopambana naye walikuwa hawaoni kama anabebwa na timu?
Hata zidane hakuwa na magoli na assist nyingi ila anakuwa regarded kama mchezaji bora kuwahi kupata kutokea, zidane alikuwa anafunga pale mahala muhimu zaidi, goli la ushindi fainali ama hatua muhimu zaidi.Safi Sana nakubali mtazamo wako japo ukisema scholes ndo alikuwa anainyanyua man u begani hapana maana hakuwa na maajabu Msimu aliporudi sio kuassist wala kufungu still alikuwa kawaida sana ..
Kuhusu hao wachezaji kumpa credit zaidi yeye nakujibu kwa mfano Ronaldinho ,Torres ,n.k wanamkubali Gerrard zaid ya scholes , Vicent Kampany ye alisema hakuwahi kutokea beki Bora zaidi ya VVD kwenye EPL ina maana waliokuwa wanampa credit zaidi Ferdinand sijui wakina Vidic n.k hawajui mpira si kila mtu anaangalia kwa angle yake ...
Turudi Tunachopaswa kuelewa ni philosophy ya Coach / manager wa timu mfano mzuri Ole katua Man u kapiga panga wakina lukaku ,Sanchez sio kwamba hao sio bora ila kaona yeye bora wake ni wakina rashford na greenwood wanamfaa zaidi ya hao ...
-Rafa alimsajili Lucas leiva (tunajua uwezo wake) aliulizwa kuhusu leiva akajibu yeye anachompendea mchezaji huyo ni physical mentality yake na anaamini mchezaji kuwa bora lazima awe na winning spirit na alimpa nafasi sana kipindi hicho...mpaka alipohamia Newcastle alitaka kumsign tena....
Hii thread imekuwa kama ugonjwa kwangu, yaani Liverpool ikicheza wakati mwingine namiss scenes kwa sababu ya kuangalia watu wamepost nini.
I hope leo game ya A-Villa tutashinda.
Next Sunday tukimfunga City mimi binafsi natangaza ubingwa.
Kwa walioko Zanzibar (Unguja) tukutane CCM, ntakuwa nimevaa jezi mpya, msiache kunisalimia.
Mimi ntakuwa kwa Raju hapa, hahahahahahha,
Waliopo Singida tukutane Rhode Club, ntakuwa na uzi mpya pia, red
Nashukuru mkuu kwa kuja kistaarabu na mi utanisamehe ..kuhusu hizo long pass hata Hendo anazipiga Sana mkuu ila sasa Hendo hata hajastaafu bado hata game alizocheza ukiringanisha na scholes ni chache so credit unazotoa kwa scholes tumpe na Hendo pia maana still Yuko anapambana na kocha anamtumainiaHata zidane hakuwa na magoli na assist nyingi ila anakuwa regarded kama mchezaji bora kuwahi kupata kutokea, zidane alikuwa anafunga pale mahala muhimu zaidi, goli la ushindi fainali ama hatua muhimu zaidi.
Same kwa scholes role yake uwanjani hakuwa mfungaji ama mtoa pasi za magoli, alikuwa muda mwingi anacheza chini na Rooney ama Cole walikuwa ndio wana occupy role ya no 10 ama playmaker, ila huyu scholes japo sio mfungaji ama mtoa pasi za magoli zile mechi muhimu zaidi ana step up na kusaidia timu.
-2008 nusu fainali uefa man utd 1 barcelona 0 goli pekee liliowatoa barca ni shuti la mbali la scholes.
1999 robo fainali inter 1 man utd 1 goli la scholes dakika za lala salama.
Nimekupa hio miaka sababu man utd ndio alichukua uefa, scholes ameplay role kwenye makombe yote mawili ya Uefa man utd aliochukua.
Sio hapo tu amefunga fainali kama za Fa na pia mechi muhimu sana kama goli la dakika ya 93 vs man city 2010 na mechi kuisha 1-0 goli hili ndio liliturudisha kwenye mbio za ubingwa,
Hivyo magoli ya huyu jamaa yalikuwa ni muhimu sana.
Ukiachana na hayo magoli scholes skill yake kubwa ni pasi zake ndefu, siku zote pass zake zinafanya midfield za timu pinzani kuwa useless, kwanza zinaenda juu sana kwamba huwezi kuzizuia pia most of time zinamfikia mlengwa. Unaweza ukaangalia mifano ya pasi zake kwenye hii video.
Dodoma wageni tukutane tango hapaMimi ntakuwa kwa Raju hapa, hahahahahahha,
Waliopo Singida tukutane Rhode Club, ntakuwa na uzi mpya pia, red
Mimi ntakuwa kwa Raju hapa, hahahahahahha,
Waliopo Singida tukutane Rhode Club, ntakuwa na uzi mpya pia, red
Hii thread imekuwa kama ugonjwa kwangu, yaani Liverpool ikicheza wakati mwingine namiss scenes kwa sababu ya kuangalia watu wamepost nini.
I hope leo game ya A-Villa tutashinda.
Next Sunday tukimfunga City mimi binafsi natangaza ubingwa.
Kwa walioko Zanzibar (Unguja) tukutane CCM, ntakuwa nimevaa jezi mpya, msiache kunisalimia.
Dah! Kuna sehemu pale Mitaa ya Kiponda jirani na Shule ya Sekondari Kiponda pana kibanda umiza nishatia Timu sana lakini panaboa Asilimia 98% ya washabiki ni Manure.
Nikaamua nihamie Kikwajuni karibu na uwanja wa Mao
Ngwaba kumbe kwenu ni Zenji?Dah! Kuna sehemu pale Mitaa ya Kiponda jirani na Shule ya Sekondari Kiponda pana kibanda umiza nishatia Timu sana lakini panaboa Asilimia 98% ya washabiki ni Manure.
Nikaamua nihamie Kikwajuni karibu na uwanja wa Mao
Daah.....!!_Hilo kaburi ulilofukua litatuletea ahueni sana kwenye jukwaa, labda tuu ajifanye hamnazo kama jinsi alivyoWakati unampinga klopp kumzuia countihno kwenda barca na clyne kwenda kwa mkopo ,pamoja na origi kwenda German hayo sio mambo ya kitaalam?? Na Je wakati unampinga hao wachezaji walikuwa wanakaa kwenu?? Na sio alikuwa anakaa nao ndo mana alikuwa anawang'ang'ania?
Na Heineken mkononi, wadhamini wakuu wa UEFA yetu.
Hiyo yakunywea panadol na dawa za U.T.I za babu @Aspirin , siwezi kunywa hiyo, hahahaha ,