Sema jamaa unajua kusuta sanaOhhh Buvac ndiyo kilikuwa kichwa cha Klopp-Mkapata aibu
ohh ukiunganisha Barca na Liverpool hamna mchezaji wa Liver ata anza- mkapata aibu
Ohhh Klopp hajawahi shinda final-Mkapata aibu
Ohh Hendo hana uwezo wa kuongoza team kwenye mafanikio -mkapata aibu
Sasa mnaenda kupata tena aibu ya mwaka,Hendo ananyanyua kwapa May kuchukua EPL
Na msivyo na aibu mtaweka picha zake ananyanyua kwapa kama mlivyo weka picha za UCL
Soma vizuri utakuwa una mawenge kama ya malafyaleKwan huyo Paul scholes alikuwa na maajabu gan mpaka anamdiss Hendo anamsahau mtu aliyecheza naye
Sema jamaa unajua kusuta sana
WAPUUZE,hawajui loloteYaani humu ndani kuna mashabiki wananishangaza sana, wanajifanya wanajua kuliko klopp...
wao ni kutaka hendo aondoke, mara akae bench, hawajui sababu ya klopp kumuweka na timu inashinda...
Wenyewe kila siku wanalilia usajili na kusahau kuwa kila mchezaji mpya atahitaji muda aweze kuendana na falsafa ya mwalimu na akishindwa ni hasara kubwa....yaani tabia za mashabiki wa MAN U zimehamia humu...kutaka kila kitu (TAMAA)..TUBADILIKE...kama mtu unaona huendani na falsafa ya klopp unataka afanane na PEP...Hamia kwa PEP
Wewe unajua soka kuliko Klopp na Southgate?Soma vizuri utakuwa una mawenge kama ya malafyale
Si kweli,mm huwa nakosoa mtu kwa haki akikosea LKN siwezi ingilia maamuzi ya guru kama KloppKuna uhuru wa kutoa maoni na kuna kuwa na Gubu.
Malafyale ana GUBU.
Roy Keane anajua kuliko Klopp?Roy Keane alipata kusema kwamba Hendo alitakiwa kuwepo studio na sio uwanjani and by the way hiyo ilikuwa ni katika mechi za kimataifa Hendo akichezea England national team
Mm naejoy tu hayo mambo ya kuchambua nan aanze nan akae bench mtajijua wenyewTuna mechi leo na Villa kule Villa Park na Hendo atacheza na tutashinda
Klopp is our manager,Hendo is our Captain
Sisi Liverpool HALISI tunampenda Hendo wetu
Tukutane hapa wkt wa mechi kuijadili kwa haki team yetu
Asanteni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu bangi inaniumizaje, mbona sijawahi kuumia sehemu?!Ollachuga Oc kinachomuumiza Bangi tu, ila yuko poa
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?Si kweli,mm huwa nakosoa mtu kwa haki akikosea LKN siwezi ingilia maamuzi ya guru kama Klopp
Klopp anajua sana na ndiyo yy anajua why Hendo kila game kubwa anacheza
Mm au ww ni nani nipingane na mtaalam Klopp?
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?
Nimeeahi mpinga hapa Klopp mara kadhaaSikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu bangi inaniumizaje, mbona sijawahi kuumia sehemu?!
Mbuzi ni yule anaye jiona anajua zaidi ya Klopp!Huyo mbuzi tulishampigia hayo magita sana, unapoteza muda na wino wako bro.
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?
Eti na ww unakosoa kazi za KloppUnapata shida sana kushindana majibu na boga, unajua BOGA lakini?
Unaweza pitia stats zake then urud hapa