Unatoa Henderson unaingiza Lallana
Yani unatoa Mzoga unaingiza Mzoga
Kwani hao siyo wachezaji wenu? Si mnajidai MNA timu bora? Sasa mnalialia nini?
LALANA GOOOO9OOOOOOOL
Unatoa Henderson unaingiza Lallana
Yani unatoa Mzoga unaingiza Mzoga
OkNdiyo Tuna Timu bora shida nini?
Bahati Nzuri hii ni Liverpool FC na sio Lallana FC kwahiyo Liverpool itabakia Kuwa ni bora lakini Lallana sio bora