Tutashinda leo sababu salah hayupo yeye ndo huzinguaga OT

Haya sio Maneno ya Kimpira Ndugu

√ Tumeshinda Michezo 8 tukiwa na Salah, Hivi Kushinda mchezo mmoja tu wa leo iwe sababu ni kutokucheza Salah????

√ Pia tunaweza tusishinde mchezo wa leo! Je itakuwa ni Haki kusema hatukushinda kwasababu hatukuwa na Salah??

Tuwe Fair ndugu
 
Upo sahihi
 
Rashfooooooooorddddddddd
Screenshot_20191020-190850_All%20Goals.jpeg
 
Back
Top Bottom