IMG_6464.JPG
 
Napenda anajituma kwa kukaba.. ana long pass nadhan ni wa 4 ama 3 kwenye kikos, ni kiongozi anapokuwa uwanjani.

Ukisema ulete takwimu za hendo kwa kumshindanisha na wachezaj wengne wenye position moja utakuwa umemuonea sote tunajua hilo, maana msimu mzuri kwake alwah kuwa na assist 7 na goli kama 3 au 4 hv.

Lakn hao viungo wenye statxs nzuri mbona hatuon wamesaidia nn kwenye timu zao, kwanza jamaa huwa ana min chache za kucheza kulinganisha na wengne.

Pia huwez kuwa vzuri kila idala..mbona kuna team ziko na mids wazuri lkn hakuna kitu,

Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Hata hendo akotaftiwa mbadala wake nasi pale kati itabd apatikane ambae atakuwa na sifa kama za hendo.

Mimi sio shabik wa hendo lkn naona watu wanamshusha sana... kiasi kwamba hakuna anachofanya.

Muhimu ushindi unapatikana, ambao wana wachezaj wazur wanahangaika saiv siku zote watu huwa hawatoshek
Wewebutakua hujaelewa wenzio NI HIVI HENDO ANABEBESHA WENZAKE MZIGO MZITO YANI ILI TIM ISIFUNGWE WANAMSAIDIA KWENYE JUKUMU LAKE UTAGUNDUA MAMBO YAKIWA MAZITO SANAA KOCHA HUMTOA.

yani tukipata mtu anae fit tunashinda huku tuna burudika yani tungetawala sehem mkubwa ya mchezo.

Akiumia mda mrefu nafasi yake awepi Keita naamini utainjoy sana tu
 
MANE KUHUSU HAMAKI YAKE DHIDI YA SALAH SIKU ILE DHIDI YA BURNLEY.

"Ilikuwa ni kutoelewana, nilitaka tu kuisaidia timu".

"Angalia timu kama Manchester City, wakati mwingine wanafunga magoli matano au sita. Kama kuna uwezekano wa kuiua mechi mapema kabisa basi wote wanajaribu kufunga magoli mengi mengi. Nadhani hilo ndilo la muhimu, na nilifadhaika kidogo".

"Tuliongea, na kila kitu kilikuwa kama kawaida. Tuliongea sisi wenyewe, na kocha aliniita ofisini kwake na tukazungumza. Nilimwambia kila kitu kilishatatuliwa na alishangaa huku akifurahi".

Akizungungumza na kituo cha michezo cha Canal+Sport kupitia kipindi chao cha Sport Witness, Mane pia alielezea Salah alichofanya baada yeye kukasirika.

"Aliniambia, lakini Sadio kwa nini una hasira?"

"Nikamwambia ulipaswa kunipasia mpira, Mo, ambapo akajibu 'sikukuona'. 'Unajua sina chochote dhidi yako' ".

"Nilijua hilo lakini jinsi alivyonijibu ikawa ajabu kidogo kwangu (Sadio anacheka hapa)".

"Siku zote tupo bega kwa bega. Yeye ni namba 10, mimi 11. Wakati mwingine tunatumiana meseji. Tunaongea hata kwenye simu, lakini hatuna tatizo".

Mane pia ameelezea jinsi Wijnaldum ambaye hupenda kama kukoleza petrol kwenye moto jinsi alivyoenda kushindilia baada ya wawili kuonekana kutoelewana.

"Kila mtu alikuwa anatuweka sawa".

"Wijnaldum ambaye hupenda kuchokoza watu, alisubiria mpaka kila mtu yupo pale kwenye vyumba, akaja kwangu na kuuliza kwa kwa sauti kubwa 'Mo Salah kwa nini Mane alitaka kukupiga?' Basi timu yote ikaanza kucheka".
 
Atavuruga wenzake kifikra bora asiletwe
Hii issue ya Coutinho inazingua kweli! Kama vipi FSG si wamlete tu Coutinho
Yani aitose tim kisa haina mafanikio wenzie wapambane wana anzakufanikiwa arudi apewe nafasi ki ubinadam hapo unaonaje mkuu?

Bora atafutwe mtu mwingine kuliko yeye nimemona Bayen kawa mvivu sana hatufai hata kidogo.
 
MANE KUHUSU HAMAKI YAKE DHIDI YA SALAH SIKU ILE DHIDI YA BURNLEY.

"Ilikuwa ni kutoelewana, nilitaka tu kuisaidia timu".

"Angalia timu kama Manchester City, wakati mwingine wanafunga magoli matano au sita. Kama kuna uwezekano wa kuiua mechi mapema kabisa basi wote wanajaribu kufunga magoli mengi mengi. Nadhani hilo ndilo la muhimu, na nilifadhaika kidogo".

"Tuliongea, na kila kitu kilikuwa kama kawaida. Tuliongea sisi wenyewe, na kocha aliniita ofisini kwake na tukazungumza. Nilimwambia kila kitu kilishatatuliwa na alishangaa huku akifurahi".

Akizungungumza na kituo cha michezo cha Canal+Sport kupitia kipindi chao cha Sport Witness, Mane pia alielezea Salah alichofanya baada yeye kukasirika.

"Aliniambia, lakini Sadio kwa nini una hasira?"

"Nikamwambia ulipaswa kunipasia mpira, Mo, ambapo akajibu 'sikukuona'. 'Unajua sina chochote dhidi yako' ".

"Nilijua hilo lakini jinsi alivyonijibu ikawa ajabu kidogo kwangu (Sadio anacheka hapa)".

"Siku zote tupo bega kwa bega. Yeye ni namba 10, mimi 11. Wakati mwingine tunatumiana meseji. Tunaongea hata kwenye simu, lakini hatuna tatizo".

Mane pia ameelezea jinsi Wijnaldum ambaye hupenda kama kukoleza petrol kwenye moto jinsi alivyoenda kushindilia baada ya wawili kuonekana kutoelewana.

"Kila mtu alikuwa anatuweka sawa".

"Wijnaldum ambaye hupenda kuchokoza watu, alisubiria mpaka kila mtu yupo pale kwenye vyumba, akaja kwangu na kuuliza kwa kwa sauti kubwa 'Mo Salah kwa nini Mane alitaka kukupiga?' Basi timu yote ikaanza kucheka".
Dah story nzuri hasa hapo kwa Wijdnadam
 
Katika gemu kadhaa mlizokutana na Man united tangu msimu wa Van Gaal mumeshinda game moja tu...iyo inaonyesha ni jinsi gani Man united ilivyo bora mbele yenu ...

Ivyo basi, tunategemea Man united kuendeleza rekodi ya ushindi dhid yenu na hili halikwepeki ..

Mbele ya hawa kinda machachari Rashiford, Lingard na Marshall tunategemea ushindi mnono...

Rashiford atakwenda kutumbukiza goli zake mbili na kukamilisha mzunguko mzima wa idadi ya magoli anayofunga kwa mwezi {maana tumeona mwezi jana kafunga goli moja tu ivyo tunategemea mwezi huu wa Oct atafunga goli mbili (2) na yote ni weekend hii }

Come on Man united
 
Wewebutakua hujaelewa wenzio NI HIVI HENDO ANABEBESHA WENZAKE MZIGO MZITO YANI ILI TIM ISIFUNGWE WANAMSAIDIA KWENYE JUKUMU LAKE UTAGUNDUA MAMBO YAKIWA MAZITO SANAA KOCHA HUMTOA.

yani tukipata mtu anae fit tunashinda huku tuna burudika yani tungetawala sehem mkubwa ya mchezo.

Akiumia mda mrefu nafasi yake awepi Keita naamini utainjoy sana tu
Hilo hata mimi ukichunguza utaona kbsa simkubal... lakn kwasasa ndie tunae so haina budi kusapot lkn once keita akiwa saf naona haina haja ya kuwa nae.

Pia hata kma hayuko vzuri sio kiasi hiki ambacho watu wanasema,
ila nilitegemea hv maana kazungukwa na watu wanao jua zaid kwasasa ndio maana hz mambo zmekuwa kubwa zaid misimu hii ya karbun.

Nilkuwa namchukia sana hendo but wadau wanamshusha mpk kero
 
Aendelee kuzurura tu huko na kuwa wa mkopo
Kulingana na Mahitaji yetu Coutinho anaweza kutufaa.

Pia kwasasa siangalii Mchezaji alifanya nini before bali ninachoangalia ni Atatusaidia vipi kuipora EPL kutoka Kwa Pep.

Kwahiyo Bora tu Coutinho January atue au even next summer
 
Sisi hatuna kikosi chenye uzoefu kama chenu ..lakini haiondoi ukweli kwamba Liverpool mna kikosi kidgo na kingine timu haziko njema kivile...Siku tukiwa kwenye level kama (naamini apo December) basi andika maumivu ..sasa mtoto kama Tomori ananifichia Salah, unategemea nin apo raundi ya pili ...

Kila la kheri Chelsea
Acha bange
 
Hebu tupe evidence ya kuprove Kuwa anakaba ili Wadau tuone huo ukabaji wake.

Upo kwenye daylight dream Mkuu? Enewey Tumeshacheza michezo 8 ya EPL tu naomba unitajie Mpira mmoja tu Mrefu (Long ball) aliwahi kupiga kwenye hiyo michezo 8 na Matokeo ya Mpira huo.

Kumbe unajua Kuwa ni Garasa lakini tu unajitia Upofu.

Kama nani Kwa Mfano Ni Kiungo Mzuri Aliyekuwa hasaidii chochote Kwenye Timu Yake?
Mimi nilimtolea Mfano KDB je hujui anachoisaidia Man City?
Guandogan?
Silva?
Kante?
Fernandinho?
Veratti?
Matuidi?
Pjanic?

Wewe kumbe hufuatilii Mpira nimegundua hilo!

Henderson amecheza dakika 412
Kante amecheza dakika 287
James Milner amecheza dakika 226
Lucas Torreira amecheza dakika 202

Hao wote kwenye EPL wamecheza dakika chache msimu kuliko Henderson but wameshafunga au Kuassist msimu huu in all competitions.

Hii sio point ya Msingi coz hapa hatuzungumzii Mafanikio ya Timu bali tunazungumzia Uwezo binafsi wa Mchezaji.
Ni sawa na Kusema Messi mbovu kuliko Origi kwasababu tu Liverpool ya Origi imemfunga Barcelona 4 - 0

Hendo kafanikisha Lipi Ndani ya Liverpool???
Kabla ya kubeba CL alikuepo Liverpool takriban Misimu 7 alitupatia nini?
Si baada ya Kuja Kina Mane, VVD, Salah, Fabinho, Alison, Robertson, Matip, TAA, GINI ndiyo tukapata Mafanikio? Au umesahau?
Sasa kusema Hendo kafanikisha kitu wakati waliojitoa na kufanikisha tumewaona itakuwa ni jambo la ajabu.

Bado hujanipa sababu za ubora wa Henderson
Aiseeh we jamaa unakaba mpaka kivuli.....yaani nukta kwa nukta ,koma kwa koma...

Sijui kwanini ila mimi namkubali sana le captain nafikiri kuna uKLOPP ndani yangu
 
Katika gemu kadhaa mlizokutana na Man united tangu msimu wa Van Gaal mumeshinda game moja tu...iyo inaonyesha ni jinsi gani Man united ilivyo bora mbele yenu ...

Ivyo basi, tunategemea Man united kuendeleza rekodi ya ushindi dhid yenu na hili halikwepeki ..

Mbele ya hawa kinda machachari Rashiford, Lingard na Marshall tunategemea ushindi mnono...

Rashiford atakwenda kutumbukiza goli zake mbili na kukamilisha mzunguko mzima wa idadi ya magoli anayofunga kwa mwezi {maana tumeona mwezi jana kafunga goli moja tu ivyo tunategemea mwezi huu wa Oct atafunga goli mbili (2) na yote ni weekend hii }

Come on Man united
Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
 
Dah naishia kucheka tu yani ninaposoma Comments za baadhi ya Wadau!

Bora hata nisiwaquote niishie kuandika tu hapa!

Eti Midfielders wetu wanakazi maalum tofauti na Midfielders za Timu nyengine.

Kumbe Midfielders zetu hazina jukumu la kushambulia? :D:D

Yani tuna Mido 3 (Hendo, Gini na Fabi) eti zote kazi yao ni Kustabalize Timu? :D:D

Pale Fernandinho mmoja alipowaeka Mfukoni Mido zetu zote 3 kumbe Walikuwa wakistabalize Mfuko wa Fernandinho? :D

Dah KDB anapiga Miassists ya mana halafu Mtu anakwambia Hendo hanajukumu la kuassists washambuliaji bali anakazi maalum anafanya! :D:D Kazi gani hiyo au ni Ajenti wa TISS ndani ya Liverpool anafanya kazi ya wasiojuilikana?

Huu ushabiki mwengine :D:D
kaka mido zetu zinafanya cover full back weki ambao kwa staili ya livwr tunashambulia na kucreate kupitia wingbacks mbona lipo wazi hili....Gini/milner huwa wanacover rober na hendo wanacover trent huku wakifanya ball recycling ...ni muhimu pia kufuatilia na forums za timu zingine kujifunza kitu,kwa mfano city wanajiuliza kwanini liver hawapati serious majeruhi kama wao?.
reason ni kwamba workhorses wetu ni gini,hendo,milner,fabinho na ni hawa klopp anawarotate kwa sababu kazi wanayoifanya siyo mchezo,nafikiri anataka kumuongezea OX hapo ili waweze kumaliza msimu mzima.Umeshawahu kuangalia siku akianza keita jinsi trent na robo wanavyo struggle kupanda mbele???
 
Tatizo la Ngwaba haangalii kwa jicho la tatu,huyu hendo atamwelewa tu.....
 
Nimeshuhudia zaidi ya 50 za Liverpool vs Man United na Joto lake ninalijua.

Kwahiyo hii mechi kwangu Mimi Inanipa Pressure sana yani siwezi kuitabiri hata kidogo.

Kupoteza ni rahisi sana.
Acha kutushika mkuu ..wewe mpira utakuwa umeanza kuujua miaka ya 2005 apo ...sasa ni game 50 zimefikaje ..

Enewei Man united 3-1Liverpool
 
Shida yake huyu ollachuga ni sigara bwege, so nakushauri uachane naye apayuke ovyo, maana ukiwa serious sana na huyo jamaa unaweza jikuta umegua

Back
Top Bottom