Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
Hii Liverpool inafika mwisho wake wa kutamba ..hao akina salah na mane wameanza kuchoka maana Kila game wamo.. Kwa maana iyo basi, kumfunga Manure mujipange sana ..labda VAR iwape musaada maana ndo ushind wenu ulipo sasa..

Kila la kheri Chelsea
 
Wewe ni fan wa timu gani mkuu ..mbna hatukuelewi? Au ndo unatafuta timu ..naona uko kweny kuchuja kati ya Arsenal na Liverpool ..

Kila la kheri Chelsea
Mimi ni mpenda soka na ni shabiki nguli wa timu kubwa London,so popote panapokuwa na alama ya soka mimi nipo.....

Una swali lingine?
 
Acha kutushika mkuu ..wewe mpira utakuwa umeanza kuujua miaka ya 2005 apo ...sasa ni game 50 zimefikaje ..

Enewei Man united 3-1Liverpool
Shabiki nguli wa chelsea asiyejua kuwa Hernan Crespo na Edur Gudjohnson waliwahi kuwa wachezaji wa Chelsea....

Hahaahhahaah sio kosa lako acha uendelee kuwa mchekeshaji majukwaani.....
 
Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
Hujamzoea tu!!
Huyo ni mzee wa kutia ndimu, hebu jaribu kupita kwenye uzi wa man u ukaone. Hakosi kuwa kashawasumbua sana kwa match hii.
 
Kiukweli kwa spirit ya winning team yetu iliyonayo na mimi naamini tunashinda hiyo mechi, siwazi droo wala lose,
Hii ni moja ya Derby kali kabisa duniani, kwenye Derby hua anaejichanganya tu basi anapigwa mzee...

Hii mechi Kwa Manu ina umuhimu kuliko mechi yoyote ile msimu huu, kwanza akipigwa hati hati ajikute nafasi ya 17 au 18 endapo walio chini yake washinde wote, kingine pia wana matarajio makubwa mno Kwa kua kikosi pale nyuma kitakua kimekamalika Bin, Maguire, Lindlof, Shaw wote wanaweza kua in contention...

Pale mbele wanaweza kua na Maritial ambae amekaa nje muda tu, hao Wachezaji kwao wanaona wamerudi wakati mwafaka kutuharibia rekodi ya kushinda mechi 18 EPL consecutively na kumpa ari noisy neighbour Citi... Walituharibia msimu uliopita tuka draw mechi ile na ndio ilitunyima ubingwa na bila shaka na msimu huu wanajipanga tena kuharibu shughuli...

Kingine kwao pia wanaona hii mechi itawajenga kuanza upya ligi baada ya kupata matokeo mambovu kuliko wakati wote ule of late...

Kwa bahati mbaya hawatakua na Pogba wala Degea ambao waliwatarajia Sana mechi hii.. Degea ni pigo kwao na huyu jamaa sijui ana kisasi na sisi pindi tunapokutana hua anakua moto ajabu..

Na mwisho rekodi yetu OT hairidhishi miaka ya hivi karibu hua aidha tunatoa sare ama tunapigwa hilo nalo linawapa motisha kupigana Sana watuharibie kujikita kileleni na pia wajisaidie wenyewe kusonga nafasi za juu zaidi...

Klopp asipoamkia mvinyo na kutupangia akina Lalllana basi tutatoka kifua mbele na hatimae kumaliza hili gundu la kutotoka na point 3 OT....

Tukiwadhibiti ma winger wao basi kazi imekwisha mapema kabisa....

In Klopp I trust
 
Nawatakia ushindi mnono Liverpool
 
IMG_6467.JPG
 
Hii Liverpool inafika mwisho wake wa kutamba ..hao akina salah na mane wameanza kuchoka maana Kila game wamo.. Kwa maana iyo basi, kumfunga Manure mujipange sana ..labda VAR iwape musaada maana ndo ushind wenu ulipo sasa..

Kila la kheri Chelsea
Ronaldo na Messi wapo katika levo za juu Kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo... sasa hivyo hilo la majembe wetu kuchoka si kweli.. Wapo ngangari kupambana
 
Shabiki nguli wa chelsea asiyejua kuwa Hernan Crespo na Edur Gudjohnson waliwahi kuwa wachezaji wa Chelsea....

Hahaahhahaah sio kosa lako acha uendelee kuwa mchekeshaji majukwaani.....
Hahahaha sasa ndugu yangu sisi hatuishi kwa historia bana ..sisi tunajenga historia mpya apo badae tuje tuwaadisie vizazi vijavyo kwamba akina Mount, Tammy Kante waliburuza timu kama arsenal Liverpool uko ..Man u.. Hao akina Crespo wakati wao ulishaisha bana
 
Ronaldo na Messi wapo katika levo za juu Kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo... sasa hivyo hilo la majembe wetu kuchoka si kweli.. Wapo ngangari kupambana
Ni kweli mkuu CR7 na Messi wapo kwa zaidi ya miaka kumi lakini kivyovyote vile hawawezi kuwa level moja na akina salah au mane ...Ronaldo na Messi watabaki kuwa wachezaji ambao wako kwenye level zao wenyewe uyu Salah tupe msimu huu tu ..msimu ujao mtataka asepe, Mane tupe adi msimu ujao...baada ya hapo mtalia na kusaga meno kama hamtosajili...
 
Hata hao ma super wawili Messi na CR7 walianza hivyo hivyo na wapo mashabiki waliwambeza kua ni single season wonder sasa tazama mpaka sasa umri 30+ plus na bado wanatikisa the equilibrium yao ipo intact...

Sasa Ollachuga Oc si ndio nyinyi mlisema Salah msimu ule kafunga magoli 31 eti msimu unaofuata kiatu cha dhahabu hakimhusu lakini ndogo alipambana na akakipata akiwa na Mane... Hawa mandogo ndio kwanza wanaanza kuchanganya hivyo jiadae tu maumivu maana hawapotei wala kushuka kiwango unavyosema hapa...

Watch this space, Mane na Salah ndio kumekucha
 
Atavuruga wenzake kifikra bora asiletweYani aitose tim kisa haina mafanikio wenzie wapambane wana anzakufanikiwa arudi apewe nafasi ki ubinadam hapo unaonaje mkuu?

Bora atafutwe mtu mwingine kuliko yeye nimemona Bayen kawa mvivu sana hatufai hata kidogo.
Hata Mimi naona Coutinho hatufai kwa sasa
 
Kama watu kila siku nawaambia, lii ushindi WA timu upatikane nidhamu kwanza
C10 huyu sijui alituchoka kiasi gani maana alichangia ela zaidi ya €10m ili atue Barca... Barca wao waliweka ofa mezani €120m take or leave ndogo kuona dili litambuma akazama mfukoni na kujinunua Kwa kuongeza hicho kiasi... Sasa ona ndoto yake Catalan imefeli.. Lol kweli never burn your bridges...

Can aligoma kabisaa suala la mkataba and then enter Sarri lol kamtupa hukooo...

Some wishes are damn cursed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom