Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6443.JPG
 
Sidhan maana rekodi zake kwenye attacking toka akiwa palace sio nzuri,
Yule ndogo ana zali mno.. Potential ipo lakini sasa kudeliva at the highest level ndio shinda zaidi..

Mpaka sasa kile kiwango cha Palace hajakionyesha...

Kuvaa jezi ya Manu Kwa sasa kama mchezaji kunahitaji ukakamavu Wa hali ya juu maana presha ni nyingi mno sio kutoka Kwa kocha, mashabiki, wamiliki n.k..wengi watachemka Kwa kukosa kifua kupambana mwanzo mwisho..
 
Halafu huko huyo jamaa hazipitagi mechi mbili lazima afunge au atoe assist

Sasa huku liverpool partner wake Hendo mzee wa backpasses na kukaba kaba mpaka wachezaj wenzake kama mwehu vile, unategemea Gini atafanya maajabu gani? Wakati team ya taifa kwny midfield kuna wataalam kama De Jong wanaompa backup ya maana.
 
Nadhani Klopp bado hajafahamu vizuri role position sahihi ya kumtumia Wijnaldum,huyu jamaa ana products kubwa sana kama Klopp akijaribu ku re think his position on the field.
mkuu kumbe ukiwepo nyumbani kwenu akili zako zinakuwa timamu ila ukivuka boda tu unazifyetua kwa makusudi kama hotuba za muheshimiwa raisi wa Gambia
 
Sasa huku liverpool partner wake Hendo mzee wa backpasses na kukaba kaba mpaka wachezaj wenzake kama mwehu vile, unategemea Gini atafanya maajabu gani? Wakati team ya taifa kwny midfield kuna wataalam kama De Jong wanaompa backup ya maana.

Kuna kipindi iliporaise hoja ya Kuwa Henderson anapokuwa hana mpira anakuwa ni bora zaidi nilicheka sana lakini watu hawakujua kwanini ninacheka!!

Kwasababu ukweli usiofichika Henderson uwanja mzima utamkuta yeye! Kila utakapokuepo mpira Hendo lazima atakuepo tu! Sasa jambo hili blindly ndiyo linalowadanganya wengi wakaona Henderson ni muhimu zaidi asipokuwa na Mpira.

Lakini ukweli ni kwamba Hendo hatakama ulipo mpira na yeye yupo hatakama tunashambuliwa lakini je watu wanakiona anachokifanya?

Jamaa hata Siku moja humuoni kumpokonya adui Mpira wala kucheza tackle yeyote! Bali utamuona Anamnyooshea Kidole Mchezaji mwenzake Akapokonye mpira ikisha ampe yeye! Sasa hapo kuna faida gani ya ulipo mpira na yeye kuepo wakati hapokonyi mpira?

Nadhani hili bado watu hawajaligundua Bali wanaangalia Kuwa ulipo mpira yupo tu! Ndiyomana wanasema ni bora hata asipokuwa na Mpira.
 
Jordan Henderson

alisajiliwa sambamba na Andy Carrol, Charlie Adam, Stewart Downing, Jose Enrique sasa kwa nini wengine wote walifurushwa na yeye bado yupo?

Joe Allen alifika na Brendan Rodgers na Klopp alimuondoa mapema sana, ukiangalia sasa wachezaji ambao wanaweza kuondoka ni Lallana, Lovren lakini JORDAN HENDERSON hakuna dalili afu ndiye kapteni wetu

Henderson ana kitu gani kiasi anakubalika hivyo kuanzia KD, BR na JK?
 
Kuna kipindi iliporaise hoja ya Kuwa Henderson anapokuwa hana mpira anakuwa ni bora zaidi nilicheka sana lakini watu hawakujua kwanini ninacheka!!

Kwasababu ukweli usiofichika Henderson uwanja mzima utamkuta yeye! Kila utakapokuepo mpira Hendo lazima atakuepo tu! Sasa jambo hili blindly ndiyo linalowadanganya wengi wakaona Henderson ni muhimu zaidi asipokuwa na Mpira.

Lakini ukweli ni kwamba Hendo hatakama ulipo mpira na yeye yupo hatakama tunashambuliwa lakini je watu wanakiona anachokifanya?

Jamaa hata Siku moja humuoni kumpokonya adui Mpira wala kucheza tackle yeyote! Bali utamuona Anamnyooshea Kidole Mchezaji mwenzake Akapokonye mpira ikisha ampe yeye! Sasa hapo kuna faida gani ya ulipo mpira na yeye kuepo wakati hapokonyi mpira?

Nadhani hili bado watu hawajaligundua Bali wanaangalia Kuwa ulipo mpira yupo tu! Ndiyomana wanasema ni bora hata asipokuwa na Mpira.
Huyu jamaa sio mzur kihivyo lakin piá sio mbaya kama mnavyomsema.... Angekuwa mbaya kiasi hicho hapo Liverpool angepasikia tu kwa sababu hata namba asingepata...... Sema jamaa Ana nyota ya kunguni kweli kweli For yearz now watu wanapiga kelele yy bado anadunda na ucaptain wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom