Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mzee wetu wa backpasses, bwana Hendo, alichofanya jana kwenye mechi ya Czech ni mwendelezo wa ubora wake uliotukuka.![]()
Huwa siangalii Mechi za Timu ta Taifa ya England kwa tabia Yake ya Kuchezesha Wachezaji wabovu wanaopigiwa chapuo na Magazeti, But hebu niambie kafanyaje Le Captaine Wetu ambaye ni best Captain of all time.



