M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
hopefully.....Mkuu Salah misimu yote ndo anaanzaga hiv mpaka wanamwita one season wonder ila mbeleni anakifaua balaa . .we tulia uone shoo ..so unaona klop kapagawa leo kuumia kwake!?
hopefully.....Mkuu Salah misimu yote ndo anaanzaga hiv mpaka wanamwita one season wonder ila mbeleni anakifaua balaa . .we tulia uone shoo ..so unaona klop kapagawa leo kuumia kwake!?
Hendo ndo anasababisha wenzie wacheze vibaya kwa yeye kushindwa majukumu yake.akipangwa nayoyote wataonekana wabovu labda wapinzani wasiwe wazuri.
Milner sipendi tu achoshwe kila mechi ndo mchezaji anaejituma zaidi akiwemo
Sio damu mbay ni kwamba sifa wanazompa na mambo anayoyafanya uwanjani haviendaniiiiTimu ikicheza vibaya lawama kwa Hendo,huyu jamaa ana damu ya kunguni kama Oezil tu
Mimi nashangaa watu wana kariri sana mimi nimeona amejaribu kutoa pass hata kuna sehemu unadhani angekuwa mchoyo kidogo. Mo msimu wa kwanza aliweka kiwango cha juu sana sasa kila akicheza tunafananisha na msimu ule hapo ndio shida. Hapa tulipo ana mchango mkubwa kikubwa ni team sio Mo. Kuna ukweli mmoja inabidi afanyie kazi sana mipira ya mwisho pass maana ndio tunataka awe anafanya hivyo ila sio ubora wake tumezoea yeye kupewa mipira ya mwisho na kumaliza tu ila tunamtaka awe kama Firminho ambayo sio game yake, yeye ni mzuri kupewa trough ball na kuwakimbia tumuache acheze game yake tusilazimishe acheze kama wengine. Mane, Mo na Bob wana style tofauti tatizo tunataka wafanane.
Timu ikicheza vibaya lawama kwa Hendo,huyu jamaa ana damu ya kunguni kama Oezil tu
Watachoka mapema hao ..awakatizi desemba..Nimechek game vzur nimegundua liverpool n timu flan inayojituma, vijana wana uchuu mkubwa sana wa kubeba epl, kila mtu anapambana
Hii Liverpool ya salah na mane?We jamaahamia tu Liverpool najua unaipenda
Watachoka mapema hao ..awakatizi desemba..

Acha kuwake tu,Na ikiwezekana waugue kabisa.Kwa jirani kunawaka moto !![]()
Man man Hahahahahahahahah, Tukikosa hii TITLE mi naachana Football kabisa.NO!! I DONT WANT TO JINX IT!!!!!
BUT I THINK, WE'RE WINNING THIS TITLE.
FIGHT ME!!!!
Hahahahahaa ... AiseeAcha kuwake tu,Na ikiwezekana waugue kabisa.

Bro upo ?NO!! I DONT WANT TO JINX IT!!!!!
BUT I THINK, WE'RE WINNING THIS TITLE.
FIGHT ME!!!!