Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa salah pale akicheza shakir atafaa sana
Salah ni mzr ila ubinafsi unaicost tim kiujumla
Atafunga ila mwisho wa mechi ye ataonekana na goli wakat kapoteza nyingi ambapo tim ingeshinda kiurahisi

#Tbt
Gem ya Barca msimu uliopita jamaa angecheza sidhan ka tungepata magoli yale,
Kinachomuua salah ni kutaka sifa za kuwa kama Messi au Ronaldo wakat haipo katika uwezo wako( atleast league anayocheza)
 
Kwa salah pale akicheza shakir atafaa sana
Salah ni mzr ila ubinafsi unaicost tim kiujumla
Atafunga ila mwisho wa mechi ye ataonekana na goli wakat kapoteza nyingi ambapo tim ingeshinda kiurahisi

#Tbt
Gem ya Barca msimu uliopita jamaa angecheza sidhan ka tungepata magoli yale,
Kinachomuua salah ni kutaka sifa za kuwa kama Messi au Ronaldo wakat haipo katika uwezo wako( atleast league anayocheza)

Kwamfano sehemu gani Salah aliyofanya ubinafsi kwenye game ya leo?
 
Kweli mkuu. Kwa kiwango kikubwa Salah hii game ameiongezea ugumu kwa upande wetu. Ameshindwa kabisa kupiga pasi za mwisho, nyingi anapiga hovyo au anagongesha (blocked)kwa wapinzani wetu.

Hili klopp anabidi alifanyie kazi. Game ilikuwa na pressure sana hii.
halafu amekuwa hivi hivi tangu msimu uanze. sijui amevimba kichwa kwa hizo "golden boots" over consecutive seasons?
 
IMG_6398.JPG
 
Leo wachezaji wasiotarajiwa ndiyo wamecheza vizuri.

Lovren
Milner

Huyu Milner akicheza pamoja na Hendo anakuwa mbovu balsa! Sijui anamuogopa Hendo!!!!
Hendo ndo anasababisha wenzie wacheze vibaya kwa yeye kushindwa majukumu yake.akipangwa nayoyote wataonekana wabovu labda wapinzani wasiwe wazuri.

Milner sipendi tu achoshwe kila mechi ndo mchezaji anaejituma zaidi akiwemo
 
Kwamfano sehemu gani Salah aliyofanya ubinafsi kwenye game ya leo?

Kila mtu na mchezo wake, na kila mtu na majukumu yake, ila pale unapojipa majukumu mengi ndo unaweza kujikuta unashine na kwa kuharib majukumu ya watu wengi, apo najua umeshanielewa ninakokwenda

Ila in short ni mtu kama Gaucho, though he was very talented na kikosi chao kilikuwa kizr sana ila barca haikuwa kali kivile, sio kuwa mo salah na Gaucho wanacheza mpira sawa, No! Hawako sawa na wanacheza tofaut sana,

The goal in football ni kufikia goal la wa pinzan, naweza kuwa na mpira nikatoa pasi nikakimbia kujiposition vizr nikapata tena pasi ambapo nitakuwa nimepita watu wawili au watatu bila nguvu na nikawa nimefanya kazi na pia nilienpigia pasi na alienirudishia akawa kafanya,, yaan mgawanyo wa kazi, wote tukaonekana bora, na pia naweza wapiga chenga wote watu wawili au watatu nikawapita, apo nitakuwa majukum yote nimeyachukua mim though possibility ya kuwapita ni ndogo, either umenielewa nachotaka kusema au hujanielewa
Ila kiufupi ni kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake, mtu anaemreplace mwingine si lazima awe bora kuliko yule kwenye mambo flan ila inabidi atumie vitu na kauwezo alikonako kuwafanya walio karibu yake wawe na nguvu zaid kwenye majukumu yao
 
Kwamfano sehemu gani Salah aliyofanya ubinafsi kwenye game ya leo?
Mimi nashangaa watu wana kariri sana mimi nimeona amejaribu kutoa pass hata kuna sehemu unadhani angekuwa mchoyo kidogo. Mo msimu wa kwanza aliweka kiwango cha juu sana sasa kila akicheza tunafananisha na msimu ule hapo ndio shida. Hapa tulipo ana mchango mkubwa kikubwa ni team sio Mo. Kuna ukweli mmoja inabidi afanyie kazi sana mipira ya mwisho pass maana ndio tunataka awe anafanya hivyo ila sio ubora wake tumezoea yeye kupewa mipira ya mwisho na kumaliza tu ila tunamtaka awe kama Firminho ambayo sio game yake, yeye ni mzuri kupewa trough ball na kuwakimbia tumuache acheze game yake tusilazimishe acheze kama wengine. Mane, Mo na Bob wana style tofauti tatizo tunataka wafanane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom