Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimemiss sana gif za Numbisa...... popote mtakapomuona mumueleze tunahitaji zile post zake
Kama hivi. Hatuweki maana ule ni ubinifu wake. Akituruhusu tunaweka (joke)

Liverpool penalt Gif
1570295754962.gif
 
Unamzungumziaje Salah leo?

Kosa si La Salah, Kosa ni la Klopp aliyekuwa hasajili.

Kwenye Bench kwa Mshambuliaji kuna Origi pekee sasa Salah hata acheze utumbo utumbo vipi itamlazimu aanze tu wakati hakuna upgrade yake coz Shaqiri na Origi huwezi kuniambia Kuwa ndiyo upgrade wa Salah.

Whatever the situation is Salah, Bobby na Mane ni lazima waanze mpaka pale tutakapo pata mbadala wao.
 
Kufanyiwa kazi ni salah kuekwa benchi tu hamna namna nyingine huyu mtu sasa ivi Amekuwa ni mbahatishaji tu

Mimi sikatai Kuwa Salah ameshuka kiwango! Lakini Je akiekwa benchi acheze nani ambaye ataleta kitu zaidi ya anacholeta yeye?

Hivi tunakikosi kipana cha kuweza kueka benchi Wachezaji wa Kikosi cha kwanza?

Kwahiyo sio kusema tu Salah aekwe benchi! Bali la msingi ni Kuwa na yule mchezaji wa kumreplace
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom