Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naona mwaka huu wameamua kuwaweka mgongoni sasa. Miaka 30 si mchezo wameona wawasaidie kulinyanyua tu
Bro yani watu wameshapiga Penalty 4 na 5 sisi Liverpool kupata leo 1 tu imekuwa Nongwa? Hebu kamuulize Rashford pekee ameshapiga ngapi!


