Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,180
Naona mwaka huu wameamua kuwaweka mgongoni sasa. Miaka 30 si mchezo wameona wawasaidie kulinyanyua tu
Wanangu wa Leicester tukaze hapa matokeo tunapata ikiwezekana 3
Hahahahahahahahah njoo uchongoe tenaWanangu wa Leicester tukaze hapa matokeo tunapata ikiwezekana 3
Kwa kweli sometime Klop anatuweka roho juu kwa hizi sub zake za hovyoPenati imetuokoa.



Uwe unasubiri mpira uwe FT,ona sasa unaonekana mbumbumbu kwa vitu vidogo.Safi sana Maddison. Safi sana Brendan
Utakufa na roho mbaya yako. God on our side. You failed once again.Come on Leicester ..hawa wetu leo
![]()
Kweli mkuu. Kwa kiwango kikubwa Salah hii game ameiongezea ugumu kwa upande wetu. Ameshindwa kabisa kupiga pasi za mwisho, nyingi anapiga hovyo au anagongesha (blocked)kwa wapinzani wetu.that was close, man.
in May 2020 we could look back into this game and count it as key.
I have no clue what could be wrong with Salah these days. he's so wasteful in possession, he's become very poor in 1 v 1 situations, his decision making in & outside the box continues to plunge, etc, etc.
Naona mwaka huu wameamua kuwaweka mgongoni sasa. Miaka 30 si mchezo wameona wawasaidie kulinyanyua tu