Sema mwanangu wewe upogo normal sana..Kama kuongoza ligi leo ndio kunakupa matumaini maamuzi ya kuwa na hayo matumaini au laa yapo juu yako mkuu or just to anyone in question
Salah bado ana upumbavu mwingi sana
Amepata injury lkn ni ndogo sio Kubwa weekend atakuwepo
Minor injuries
Anakosa magoli mepesi sana na kupoteza mipira kisengeSijaona upumbavu wake so far, anakabwa na kijiji which is good for Mane & Firmino birthday boy respectively
....na Salah piaHendo apumzishwe tu..
Salah kawa mpuuzi sana....tunahitaji sana matokeo wao wanaleta ujinga....na Salah pia
Huyo mimi ameshanifika mwisho kweli.Salah kawa mpuuzi sana....tunahitaji sana matokeo wao wanaleta ujinga