Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,332
Leo liverpool mtaruka ruka tu uwanjan, salzburg sio timu ya mchezo mchezo
Mkuu ni kweli kabisa ila sio pale anfield ,anfield sio mahala salama kwa wapinzani hasa inakuwa kwenye uefa champions league.