Huwa najiuliza watu wana matumaini ya EPL ya msimu huu mbona mimi sioni hilo kombe likitua pale AnfieldAnadhani anaweza kupata kombe kwa wachezaji tatu hilo asahau mpaka hapa tayari frot yetu ishachoka Man u waliwatumia mpaka kina Oshea wakiwa bado wachanga na wakapata kombe.muangalie Starlling alivyo anza na sasa ku stick na mtu ni ngumu kufanikiwa
Kama ww ni kopites katafute wimbo wa "you Will never walk alone".kama co kop kafie mbele hukooo maana utakuwa hujui hata matumaini yanafananajeHuwa najiuliza watu wana matumaini ya EPL ya msimu huu mbona mimi sioni hilo kombe likitua pale Anfield
Huwa najiuliza watu wana matumaini ya EPL ya msimu huu mbona mimi sioni hilo kombe likitua pale Anfield
Klopp angechukua kama EPL imejaa makocha vilaza watupuKama ww ni kopites katafute wimbo wa "you Will never walk alone".kama co kop kafie mbele hukooo maana utakuwa hujui hata matumaini yanafananaje
Matumaini mbele ya Man City hii ya Guardiola?!!Sio lazima we uone hayo matumaini
Matumaini mbele ya Man City hii ya Guardiola?!!
Sawa

Matumaini mbele ya Man City hii ya Guardiola?!!
Sawa
Kwa upangaji wa vikosi wa Klopp ni ngumu sana kuchukua EPL mbele ya Manchester City ya sasa chini ya Guardiola halafu ongezea na ulinganisho ubora wa vikosi kati ya Liverpool na Manchester CityUnavyoisifia hiyo city ya guardiola utafikiri ndio complete team kuwahi kutokea duniani
Record ile ya anaeongoza ligi siku ya Christmas kuchukua Ubingwa imechafuliwa na Club mbili tu Arsenal na Liverpool, Arsenal Amechafua rekodi hiyo mara moja huku Liverpool akiwa amechafua Rekodi hiyo mara nneMbona hiyo man city ya guardiola imeshindwa kuchukua uefa,mbona guardiola wako hajachaguliwa kuwa kocha Bora wa msimu uliopita na fifa.
Guardiola kwa kipi alichonacho mbona kazidiwa point 5 mpaka sasa au guardiola yupi? Huyu aliefungwa na norwich au Itakuwa guardiola wa kipindi kile cha barcelona?![]()
Kama kuongoza ligi leo ndio kunakupa matumaini maamuzi ya kuwa na hayo matumaini au laa yapo juu yako mkuu or just to anyone in questionSio lazima we uone hayo matumaini
Record ile ya anaeongoza ligi siku ya Christmas kuchukua Ubingwa imechafuliwa na Club mbili tu Arsenal na Liverpool, Arsenal Amechafua rekodi hiyo mara moja huku Liverpool akiwa amechafua Rekodi hiyo mara nne
Na Klopp ni mmoja wa makocha walioichafua Rekodi hiyo(Last season) , what I want to entice is that labda mechi ya mwisho ya ligi ndio watu wangetumia kuweka matumaini kuwa LFC anachukua Ubingwa
nimeona article moja inasema kuwa matip makes van dgik better defender
Mbona hiyo man city ya guardiola imeshindwa kuchukua uefa,mbona guardiola wako hajachaguliwa kuwa kocha Bora wa msimu uliopita na fifa.
Guardiola kwa kipi alichonacho mbona kazidiwa point 5 mpaka sasa au guardiola yupi? Huyu aliefungwa na norwich au Itakuwa guardiola wa kipindi kile cha barcelona?![]()
Swala la kujichanganya halikwepeki napata mashaka sana na washambuliaji wetu hizi mechi nne zijazo ndo zitanipa pichaMimi binafsi tokea Klopp ajiunge na Liverpool sikuwahi kumpa uwezekano wa kuweza kubeba EPL, Lakini msimu huu ninayo Matumaini ya Kubeba EPL.
Kwahiyo naamini kwa asilimia 75% Kuwa Msimu huu tusipojichanganya tunabeba EPL.
Hata hivyo Mkuu hoja ulizozitoa hazina uhusiano wa Guardiola kuto kubeba EPL
Swala la kujichanganya halikwepeki napata mashaka sana na washambuliaji wetu hizi mechi nne zijazo ndo zitanipa picha